Kama haya yametokea Uganda, vipi kuhusu Tanzania?

Noel france

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
925
1,000
Kunasiku moja nilimsikia kuna officer mmoja aliyeamua kujitoa serikalini na kuamua kuunda chama chake cha kisiasa.

Kilicho nifanya nifungue thread hapa ni kwa sababu kuu moja ambayo nimeiyona kama imenifumbua macho na masikio zaidi.

Tukijikumbusha yaliyopita aswa ktk uchagunzi uliopita wa mwaka 2010 Kwa Tanzania ambapo tulitangaziwa kikwete alishinda.

Hapa ndipo ninapotaka kuwaambia na tujadiliane na ikiwezekanika tuungane ili tume uru ya uchaguzi iundwe na tuondokane na tume ya kuteuliwa na rais. Kwani zina madhara ya kupendelea upande mmoja.

Ukweli ni kwambia,kuna radio moja ya nje sina huwakika ni ipi kati ya dochivele na bbs. Ila radio free ndiyo walijiunga nao. Ndipo mtangazaji alipo muhoji yule bwana ambaye alikili na kusema mh. Dr. Kiza Besige alishinda ila wao kama maofficer wa usalama waliagizwa kuyarekebisha, ili kumpa ushindi rais wa sasa mh. Museveni.

Je, inawezekana mbinu waliyoitumi uganda,uwenda na yeye jk kupitia usalama wa taifa na wao walitumia mbinu kama hii?

Kupitia ukweli alioutoa yule officer wa usalama wa uganda naanza kuamini kikwete alishindwa vibaya sana kwenye uchaguzi uliopita wa 2010,ila walibebwa na maofficer wa usalama kama uganda walivyo fanya.

My take.
Kwa style hii machafuko yanayotokana na uchaguzi kwa afrika hayatoisha kama muarobaini wa haya hautokuwepo.
 

kikule

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
217
225
sio hata bongo slaaa lipeta lakn bwana maendeleo akalazmisha matokeo yawe kinyume chake
 

Kiboko.

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
2,838
2,000
Acha ndoto za kitoto ww,slaa ashinde kwa mtonyo upi labda,?achen ndoto za ajab babu mwenyew anajua hakushinda na alishasign contract na chama ya malipo yake ya kila mwez yawe sawa na pesa ya mbunge sasa kama angejua kuna kushinda angeanza hzo sarakas zake?JK alishinda na Ccm ilishinda pia,we hat akil huna jiulize CDM ilipata majimbo mangap na CCM ikapata mangapi pia?ukinipa jibu hapo utakuwa umejijibu mwenyewe
 

Noel france

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
925
1,000
Acha ndoto za kitoto ww,slaa ashinde kwa mtonyo upi labda,?achen ndoto za ajab babu mwenyew anajua hakushinda na alishasign contract na chama ya malipo yake ya kila mwez yawe sawa na pesa ya mbunge sasa kama angejua kuna kushinda angeanza hzo sarakas zake?JK alishinda na Ccm ilishinda pia,we hat akil huna jiulize CDM ilipata majimbo mangap na CCM ikapata mangapi pia?ukinipa jibu hapo utakuwa umejijibu mwenyewe

mbona kama vile hujitambui!
 

Noel france

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
925
1,000
sio hata bongo slaaa lipeta lakn bwana maendeleo akalazmisha matokeo yawe kinyume chake

kwa style hiyo kiukweli vurugu zitokanazo na uchaguzi hazitokwisha. Inatubidi tuungane na tupige kelele ili tume uru ya uchaguzi ipatikane. Ambayo haitotokana na uteuzi wa rais.
 

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,448
2,000
uchaguzi wenye mashaka ni aibu kwa CCM na taifa, kama kuna kitu wananchi tunaweza fanya basi tufanye maana ni aibu
 

Daddo

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,409
2,000
Hauna ushahidi mkuu Uganda ni Uganda Tz ni Tz. Acha kufanya conclusion ambayo huna hata ushahidi wake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom