Haha wanaendana naonaNimeipenda Hiyo ya Sky Eclat na kichwa kichafu
Mweke wazi basi hapa mkuuHakika, nishapata kunako pm tyr, mambo sio mabaya
Sana tu ila nasikia ni mume wa mtuHaha. Kumbe hata wewe unatamani Joseverest awe couple wako
Niambie SakayaMmmh
Naheshimu mawazo yake ,hajataka kuweka wazi id yake hapa.Mweke wazi basi hapa mkuu
Humwelewi DJ Sepetu mkuu..? Unaeza taja unaemwelewaMmmh
Kwani kuna ubaya? Mbona hata wewe nasikia ni mke wa mtuSana tu ila nasikia ni mume wa mtu
Basi safi mkuuNaheshimu mawazo yake ,hajataka kuweka wazi id yake hapa.
Hivi kumbe ni mie???!! Halafu Kati ya wanaume woooote JF kaona anipe huyoo ako na mke kila uzi??? Wacha nikufwe na utamu wangu mie kuliko kuletewa homa ya iniNiambie Sakaya
Mie niko na mume humu na mchepuko mmoja!!! WananielewaHumwelewi DJ Sepetu mkuu..? Unaeza taja unaemwelewa
Cha mtu huliwa na mtu!!! Nawaza tu mieSana tu ila nasikia ni mume wa mtu
nipo hapa loveMweee Joseverest kam zis wei kuna mtu kaamua kutufungisha ndoa huku
Sana tu ila nasikia ni mume wa mtu
Hahahaa ndo umeshapewa sasa upambane na hali yakoHivi kumbe ni mie???!! Halafu Kati ya wanaume woooote JF kaona anipe huyoo ako na mke kila uzi??? Wacha nikufwe na utamu wangu mie kuliko kuletewa homa ya ini
Sio kila mtu anaruhusu kuliwa chake ujueCha mtu huliwa na mtu!!! Nawaza tu mie