Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana


Mjina Mrefu

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Messages
2,737
Likes
2,448
Points
280
Mjina Mrefu

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2016
2,737 2,448 280
Wakuu,

Kwa tunavyoishi hapa JF, tunavyo interact, ni hakika, mawazo na michango ya mtu yanahakisi tabia yake.

Kwa hakika hata mtu akikukurupusha usingizini akuambie kama unachagua mtu wa kutengeneza naye couple, lazima kuna mdau hapa jf anakuvutia na unaweza kumtaja japo humjui.

Pia unaweza ukasema hapa JF, fulani na fulani wangetengeneza couple wangependeza mno.

Kwa mfano mimi kuna watu naona wangekua couple ingenoga sana.

Khantwe na Joseverest

Sky Eclat na Kichwa Kichafu

Dj Sepetu na Sakayo

Na nyingine nyingi.

Kwangu mimi leo ukiniambia nichague wa kutengeneza nae couple, ningemchagua huyu mwana dada wa kuitwa Emmyta.


Ni akina nani wengine unaodhani wakitengeneza couple zitanoga?

Ww ukiambiwa uchague wa kutengeneza nae couple hapa JF utamchagua nani?
 

Forum statistics

Threads 1,235,462
Members 474,585
Posts 29,222,964