Kama hawa ndiyo walikuwa hivi miaka yote, kwa Simba, Yanga na TFF nini kifanyike kapata wa ukweli?

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Tanzania inanipa shida kuielewa hasa unapokutana na viongozi maofisini kwa sura zao ni wapole,wakarimu,waungwana,wacheshi na maneno na ahadi za asali.

Kwa kinachoendelea Sasa kwa viongozi wetu nachanganyikiwa na ukweli wenyewe!!

Huwezi amini ukiwa unasikiliza redio au kuangalia TV kuhusu wao.

Nini kifanyike haya yasitokee,ni udhaifu wa Katiba zetu au ujinga wetu,au ni upambe tu usiokuwa na mtazamo wa kina au ni njaa zetu??
 
nani asiejua uhalisia wa uongozi wa kitanzania?ukiona mtu anatafuta madaraka kwa gharama yoyote ile ujue hawezi kuwa kiongozi bora ni mfanyabiashara huyo!
 
Mkuu sasa tutapata viongozi wazuri wapi na wakati unajua kila kiongozi lazima ajinufaishe kidogo??
 
Back
Top Bottom