Kama hawa ndiyo walikuwa hivi miaka yote,kwa Simba,Yanga na TFF nini kifanyike kapata wa ukweli??

tramadol

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
5,314
Points
2,000

tramadol

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2015
5,314 2,000
Tanzania inanipa shida kuielewa hasa unapokutana na viongozi maofisini kwa sura zao ni wapole,wakarimu,waungwana,wacheshi na maneno na ahadi za asali.

Kwa kinachoendelea Sasa kwa viongozi wetu nachanganyikiwa na ukweli wenyewe!!

Huwezi amini ukiwa unasikiliza redio au kuangalia TV kuhusu wao.

Nini kifanyike haya yasitokee,ni udhaifu wa Katiba zetu au ujinga wetu,au ni upambe tu usiokuwa na mtazamo wa kina au ni njaa zetu??
 

Forum statistics

Threads 1,391,789
Members 528,461
Posts 34,089,026
Top