Kama hautaki katiba mpya hautufai

Kuanzisha mjadala wa Katiba Mpya Ni kuanzisha FuJo Za wakati wa Jakaya

Kuna watu watataka uanzie ulipoishia wakati kuna watu watataka uanzie kwenye Rasimu ya Warioba kuna wengine wataibuka uanze upya kabisa

Magu tuletee Reli ya kisasa, mabarabara,stgler gauge, Na mengineyo

Hizo Vurugu Za Kisiasa wanaziweza kina Jakaya WeWe Ni Mtu wa kazi tu
Point of the season
 
Uzalendo wa kutowasikiliza unaowaongoza wanataka nini ni wa kuchunguzwa sana, ni uzalendo uliojaa utamu mdomoni tu ila ndani ni shida tu
Tena mbaya zaidi unapojifanya mcha Mungu kila wakati na katamko kauongo uongo eti tumtangulize Mungu mbele huo ni unafiki mkubwa , MTU unajifahamu kabisa kuwa uliapa kwa kutumia msaafu na ukaahidi kuwa utailinda na kuiheshimu katiba ya nchi baada ya kiapo unazuka na mambo ya ajabu ajabu yasio endana na kiapo chako.
Tambua Mungu hadhihakiwi.
 
Kuanzisha mjadala wa Katiba Mpya Ni kuanzisha FuJo Za wakati wa Jakaya

Kuna watu watataka uanzie ulipoishia wakati kuna watu watataka uanzie kwenye Rasimu ya Warioba kuna wengine wataibuka uanze upya kabisa

Magu tuletee Reli ya kisasa, mabarabara,stgler gauge, Na mengineyo

Hizo Vurugu Za Kisiasa wanaziweza kina Jakaya WeWe Ni Mtu wa kazi tu
Hivi ni vitu visivyokuwa mbadala,yani huwezi kusema ukiwa na majani ya chai na maji tu inatosha sukari sio muhimu Tunataka, na ni haki yetu kuwa navyo vyote
 
Hivi ni vitu visivyokuwa mbadala,yani huwezi kusema ukiwa na majani ya chai na maji tu inatosha sukari sio muhimu Tunataka, na ni haki yetu kuwa navyo vyote

Na kupata haki zote kunahitaji akili Na Maarifa na Mtu akikupa haki kadhaa busara yake Ni kupokea hizo chache Na kudai zingine baadae Na sio kususa mpaka upate zote Kwa pamoja

Fursa tuliyopoteza 2014 Kwa Jakaya tutaisubiri Sana Na Pengine ikaja pungufu ya ile aliyokuwa tayari Jakaya kugombana Na CCM wenzie ili wengine waipate

Haki haipatikan Kwa Siku Moja
 
Back
Top Bottom