Kuchakuro Ps
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 438
- 507
Hilo ni tatizo Sasa.Mimi nilijaribu kukaa miezi 4 bila demu,,nilikuwa na hasira sio ya Dunia hii yaani kila baada ya dakika 10 natamani nimpige MTU vibao
Unatakiwa kutafuta tiba ya akili.
Kwani hiyo hali sio ya kawaida.
Alafu wewe hukuzaliwa na demu.