Kama Haupo katika mahusiano huu uzi ni kwa ajili yako!

Eeh mzee baba, hawa watoto wanakuwaga na wema wa mshumaa sometimes. Mtu anajifanya yupo real na wewe ila akipata upenyo anagwajimika na masela wengine kinyele kinyele matokeo yake hogo lilkimkolea anaanza visa tu
Kwa mantiki hio sisi ambao ni single tuko ready to mingle tuendelee na harakati zetu sio?
 
Everibadiii seyii Yeaaaah
Nshapenda sana ila sijabahatika kupendwa zaid ya kufamania tu (Single suguu)
 
Siku nikioa ndio nitakua kwenye mahusiano saivi nipo nipo tu na sex mates
 
Naombeni mutume site wanazopatikana wadada,wamama na hata wabibi....Mimi kutongoza nimechoka ndio maana single
 
Wewe utakuwa kwenye kundi la kukataliwa!
Kuna wanaume anaweza akatongoza wanawake 20 na wote wakamkataa na atayekubali hatokei kwa promises hata kwa bahati mbaya
Whats Up wanafamilia wa JF
Ee bwana katika maisha kuna kipindi inatokea haupo katika mahusiano kwa sababu kadha wa kadha either kwa kukosa mwenza sahihi, kukataliwa(Inatokea).. au kuona mahusiano haya Nafasi kwa wakati husika kwako!

Kwa Mfano mimi sipo katika mahusiano kwa sababu kwa kipindi kirefu sijavutiwa na mwanamke! Je wewe ni kwanini haupo katika Mahusiano??

Pamoja na Kwamba hatuwi katika mahusiano kuna changamoto lazima tunakutana nazo kwa mfano wale jamaa wa nyegezi wanazidi unashindwa ukawapunguze wapi!

Je unakutana na Changamoto gani kwa kuwa Single?

Tiririka!

Khan
 
Mimi nilijaribu kukaa miezi 4 bila demu,,nilikuwa na hasira sio ya Dunia hii yaani kila baada ya dakika 10 natamani nimpige MTU vibao
Nyeto Zina madhara Kisaikolojia. Ivi ni proved kisayansi kuwa mtu asiye fanya fanya anakuwa na hasira?
Kama ndivyo.
Mbona nina miaka miwili simjui mwanamke na Mimi Mwanaume rijali sina tatizo na yeyote.
Nina upendo wa dhati kwa kila mtu Wala Sina shida.
Hili la hasira ni Vp?
 
Back
Top Bottom