Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 948
- 1,092
Inauma ila utafanya nini bwashee!
Eti watu wanaagiza magari, majenereta, mafriji na vitu au vifaa mbalimbali vya kutumia nishati ya umeme kutoka nje ya nchi aidha vikiwa vipya kabisa au vilivyotumika kidogo.
Ajabu iliyopo bwashee hivyo vitu vikiharibika vinarekebishwa au kutengenezwa hapa hapa nchini na ndio teknolojia sasa walizonunua ng'ambo.
Halafu kuwa watu tena kikundi cha watu wachache wanasema hatuwezi kuwa na teknolojia mfano wa hizo, mara ooh sisi masikini hatuwezi kubuni au kufanya kama wa ng'ambo na maneno kedekede.
Mbona kila mtaa au eneo karibu yako kuna fundi wa hivyo vitu.
Kweli watu wana macho hawaoni na wana masikio hawasikii.
Bwashee twende tukanywe miti shamba hospitali mijini ni miradi ya walee bwashee