Kama hataki nipe mie. Kasusa? Nipe mie

No thank you. I don't speak Spanish may be Chinese. Hahahaha

Woooh, yo missing the romantic slang....

Oooh, so mandalin is okay with you...???

Well am not linguistic but am available....

Zaoshang hao Mrigariga,
Ni hao? Wo hai bucuo
Zao an

Kasinde Matata Platinum.
 
Mie nilikua napata kashata, vileja na bisi ikisindikizwa na gahawa pembeni yenu.

Platnum huku kuna mvua adoado usiku kuchee...sijui itakuaje.
 
Huyu
Mnyamwezi matata sana. Nitamtafuta nimuone.

Aaahahahahhaaa jiandae kukabiliana na kuyaona Matata yake ana kwa ana bin uso kwa uso.

Ujikaze tuu kucheka maana usipojikaza unaweza kupasuka mbavu eehehehehehheee.

Platinum Matata.
 
Mie nilikua napata kashata, vileja na bisi ikisindikizwa na gahawa pembeni yenu.

Platnum huku kuna mvua adoado usiku kuchee...sijui itakuaje.

Mambo hayo uliyapatia wapi....??!!

Mwenzio katope mie, huko siwezi kuja mpaka jua linyeshe...... eehehehehehhehee mbiiiooooooo.
 
Aaahahahahhaaa jiandae kukabiliana na kuyaona Matata yake ana kwa ana bin uso kwa uso.

Ujikaze tuu kucheka maana usipojikaza unaweza kupasuka mbavu eehehehehehheee.

Platinum Matata.
Am ready for that na kama ni kucheka tu napenda kucheka sana. Mimi mwenyewe ni mchekeshaji pia. So tutabadilishana notes. No worries...
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom