Kama hataki nipe mie. Kasusa? Nipe mie

Wewe hujawahi kutoa hadharani?

Kinga ndo nini?

Hapana mimi si kuku, paka wala mbwa, ninajiheshimu.....mimi nawapa kina Mama Guest tu ama nyumbani kwangu ndiyo maana nakushangaa wewe kutoa hadharani tena kwa mtu asiyekujuwa kivile. Samahani, wewe Kasie ni Muhaya au Mchagga?
 
Kumbe wewe ni mgeni humuu.... ndo maana umepigwa na butwaa..

Kasinde aka Kasie aka mama ya ma crush ni chotara wa Kinyamwezi....

Mengine yote yako humuhumu nilishaweka wazi siku nyingi tuu yatafute kwa muda wako au waulize jirani zako.

Bibi yangu aliniambiaga, MAPENZI HAYANA HESHIMA, nami nikadaka hilo na ndo linaloweka hai hadi leo

K' Mahaba Matata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom