Labda nianze kwa kuwasalimu wote humu ndani na baada ya hapo niwape tafakari kidogo wale wenye uwezo wa kuwaza mara mbilimbili;
Tafakari yenyewe nataka niiweke kwa mfumo wa swali maana najua humu wahadhiri na wasomi ni wengi kujibu haitakua tabu.
Hivi kama raisi anaweza kwa harakaharaka akamsimamisha kazi mkuu wa mkoa kwa uzembe wa kutoa taarifa kwenye vyombo vya habari kabla ya kuifanyia uhakiki, kwanini inamuwia ngumu kufanyia kazi ufisadi mkubwa uliofanyika na kulitikisa taifa mfano Escrow na Richmond, ni nini kigugumizi hapa?
Au kuna watu ambao ukiwatumbua na wao watakutumbua?