Dx and Rx
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,303
- 3,084
Nimeona waliopata nafasi za Tamisemi(Ualimu na Afya) wameanza kuhamasishana ili wabadilishane vituo vya kazi. Unaanza kukosoa kazi uliyopata ambayo uliiomba? kweli! acheni masikhara..
Kuna watu wanasota kitaa tangu 2015 ila hawajapata nafasi wakati waliomaliza 2021 wamepata, ninyi mnaokosoa hizi nafasi kwa kutaka kubadili vituo lazima mtakuwa mumemaliza 2021, 2020 na hamjaonja joto la kitaa.
TAMISEMI naomba msiruhusu hii dharau ya kutaka kubadili vituo waende kwenye vituo wavipendavyo ilihali kuna wapo wanazitamani hizi nafasi. Mtu asiporipoti hiyo nafasi mpeni mwingine haraka.