Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,560
- 1,085
Na hao wasioweka mazingira salama ya kazi. Mfanyakazi ana haki zaki za msingi, mfungwa mwenyewe ana hatia lkn huduma mhimu ni lazima azipate kutoka kwa waliokabidhiwa majukumu hayo ya kuwalea sembuse mwajiriwa. Hebu achana na roho ya kutu na kinyama kwa watu.Unataka hao wanaoishi kwenye hayo mazingira harsh wakapewe huduma na nani?