Kama hamtaki kwenda Vijijini tupeni hizo nafasi tunaotaka kwenda

Dx and Rx

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
1,249
2,959
Nimeona waliopata nafasi za Tamisemi(Ualimu na Afya) wameanza kuhamasishana ili wabadilishane vituo vya kazi. Unaanza kukosoa kazi uliyopata ambayo uliiomba? kweli! acheni masikhara..

Kuna watu wanasota kitaa tangu 2015 ila hawajapata nafasi wakati waliomaliza 2021 wamepata, ninyi mnaokosoa hizi nafasi kwa kutaka kubadili vituo lazima mtakuwa mumemaliza 2021, 2020 na hamjaonja joto la kitaa.

TAMISEMI naomba msiruhusu hii dharau ya kutaka kubadili vituo waende kwenye vituo wavipendavyo ilihali kuna wapo wanazitamani hizi nafasi. Mtu asiporipoti hiyo nafasi mpeni mwingine haraka.
 
chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,528
15,046
kuna swala moja ambalo serikali itapunguza ajira ni haya:
*kujikita na vijiji sasa kwa sana yani kuanzia mazingira ,maji,umeme ,huduma na barabara.
hii si kwamba inafanya watu kushindwa kufanya kazi na kuongeza wigo wa maendeleo bali mtu hakiweza kufika vijijini anaweza kufurahi kama yupo sehemu mjini.
maana mtumishi anapokuwepo hapo kumbuka anafamilia au hatakuwa na famili au kama ana biashara basi zitamwekea kupata vijana ajira hapo.

serikali imekalia na jiji la dar sana kuboresha na kufanya kila mtu kuwaza dar au majiji mengine hapa tanzania ndio kimbilio.
ndio maana unakuta dar inazidi kusogea mpaka mkoa wa pwani kumaliza huku kushindwa kuendeleza mikoa.

kama serikali inatakiwa kuwekeza sasa vijijini sana kuliko mijini ili makusanyo ya ndani ya miji yaendeleeze na asilimia nyengine zielekweze sana vijijini na makusanyo yake
 
Maprof wenyewe wakipata teuzi wanasema wametolewa jalalani, haya watayafikiria lini wakati hao ndio tumewapa dhamana
 
Southern Highland

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
10,339
14,986
12461c9f2d83442eab6fadc60ce1e98a.jpg
 
ki2c

JF-Expert Member
Jan 17, 2016
4,637
7,127
Shusha pumzi kwanza, life is not fair, pambana na hali yako mkuu.
Hivi enzi za Magu,mtu angeanza kudekadeka hivyo,eti anataka kubadili kituo huku hata kuripoti Bado,si mzee angetoa maeoekezi ya haraka kua ambao hawataki wasiende na nafasi zao zigawiwe kwa wengine haraka?
Kwanza ngoja nifanye utaratibu wa kuwasiliana na watu wa TAMISEMI,hizo nafasi zichangamkiwe haraka sana,eboo! hivi deadline ya kuripoti ni lini kwa anayejua,ili hayo ma-gepu yajazwe haraka?
 
ElimuKwanza Tz

Senior Member
Jun 5, 2021
180
207
Hoja ya kijinga Sana

Mimi Sina hiyo ajira na nikiipata Form day one tu naanza mchakato wa kuhamia DSM, ungekuwa na Hoja endapo ungesema wanaacha kazi(Hawaripoti kazini) kumbe kuhama vituo ni lengo na ndoto za 99% ya watumishi kuhama vituo.

Njaa usidumaze Reasoning
 
jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
12,598
22,831
kuna swala moja ambalo serikali itapunguza ajira ni haya:
*kujikita na vijiji sasa kwa sana yani kuanzia mazingira ,maji,umeme ,huduma na barabara.
hii si kwamba inafanya watu kushindwa kufanya kazi na kuongeza wigo wa maendeleo bali mtu hakiweza kufika vijijini anaweza kufurahi kama yupo sehemu mjini.
maana mtumishi anapokuwepo hapo kumbuka anafamilia au hatakuwa na famili au kama ana biashara basi zitamwekea kupata vijana ajira hapo.

serikali imekalia na jiji la dar sana kuboresha na kufanya kila mtu kuwaza dar au majiji mengine hapa tanzania ndio kimbilio.
ndio maana unakuta dar inazidi kusogea mpaka mkoa wa pwani kumaliza huku kushindwa kuendeleza mikoa.

kama serikali inatakiwa kuwekeza sasa vijijini sana kuliko mijini ili makusanyo ya ndani ya miji yaendeleeze na asilimia nyengine zielekweze sana vijijini na makusanyo yake
Tanzania ni dsm na mwanza huko kwengine ni maporini na mashambani.

Acha tujazane karibu na dsm...ndio kwenye huduma zote bora za kijamii..maji safi..umeme..miundombinu bora..hospitali vyuo na starehe kama kidimbwi.

Karibu dsm toka huko uswekeni utachakaa.

#MaendeleoHayanaChama

#MaendeleoHayanaChama
 
8 Reactions
Reply
Top Bottom