Kama hamjafikiria,haya ndio matokeo ya "kufura" kwenu

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Ndio mnaweza kuifuta chadema katika madaftari yenu ya usajili,....lakini hamtakuwa mmemaliza matatizo ila mtakuwa mmeleta matatizo makubwa kwa Tanzania!

Yawezekana kabisa vijana wengi wasio na ajira waka shawishika kuunda chama chao na kukisajili "msituni" na huko watakuwa wana endesha maisha yao,......

Zipeni akili zenu mda wa kufanya kazi,...vijana wengi wa Tanzania hawana ajira na hawajui kesho itaisha vipi!
Kama mtakurupuka kufuta kila chama kinacho wapinga nyie,mtakuwa mna waambia watanzania "endesheni maisha yenu kwa kuiga congo na burundi"

Naimani hamtaki kutupeleka huko kwa hasira zenu za kipuuzi,....kila kijana aliye pale kijiweni akipewa bunduki hata kama ana akili kiasi gania atakubali kuichukua maana atakuwa amepata njia "rahisi" ya kupata mlo wa kila siku!

JK and your team,think,use your brain msituchafulie nchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom