Kama Hali ni Hii Tuache Uchokozi na Tujipange.Mbwembwe Hazisaidii

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,793
71,206

Nimeshtuka sana baada ya kuona hii na nikakumbuka mbwembwe zetu na uchokozi wa manenokwa majirani zetu wakati fulani.
Kiukweli Kenya wametuacha mbali tofauti na tunavyo aminishwa unless mtu anieleweshe tofauti, maana hapa hakuna siri ni mambo yako mtandaoni
 
subiri tumalize kujenga viwanda tutaweka mambo sawa , hawawezi kutugusa hao, wanajua tulivyomchachafya Idd Amin ambaye walikuwa wanamuunga mkono!
 
Ukitoa DRC na Burundi Kenya ndiye anayefuatia kuwa na jeshi liliso na utii na nidhamu pia hawana watu makini wa kuongoza ktk mapambano. West Gate ni mfano mzuri.
 
Mtoa mada hulijui jeshi letu ni bora tu ukatulia.
Kwa taalifa yako wanaofanya research huwa wanaishia kwenye korido tu za store zetu haturuhusu wajue vyote sawa.
 
Sawa mkuu, ila kuwana jeshi imara kama taifa ni jambo la msingi sana maana hata kama mna maamuzi yenu ya ndani na wa nje hawayapendi hamguswi. Ndicho ana jivunia NORTH KOREA
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Hapo mwanzo huyo askari wa Tanzania mbona kwenye bega ana bendera ya Rwanda?

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ukitoa DRC na Burundi Kenya ndiye anayefuatia kuwa na jeshi liliso na utii na nidhamu pia hawana watu makini wa kuongoza ktk mapambano. West Gate ni mfano mzuri.

Teh teh teh tihiii
huyu anafikiri jeshi ni vifaa. kama ni hivyo jeshi la Nigeria lisingewakimbia wanamgambo wa boko haramu.
 
Mtoa mada hulijui jeshi letu ni bora tu ukatulia.
Kwa taalifa yako wanaofanya research huwa wanaishia kwenye korido tu za store zetu haturuhusu wajue vyote sawa.
hizi taarifa zinatoka kwa alikuuzia hayo mapanga majambia
 
Teh teh teh tihiii
huyu anafukiri jeshi ni vifaa. kama ni hivyo jeshi la Nigeria lisingewakimbia wanamgambo wa boko haramu.
Naam moral pia ni kigezo kikuu, ila hivi vitambi vyetu mmmh sijui! Na pia uzalendo kwa sasa umebaki ule wa kuunga mkono juhudi tuu
 
Back
Top Bottom