Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Ili watuzuge kuwa demokrasia ya vyama vingi bado ipo!!Yaani hiyo mbona ipo wazi?
Ili watuzuge kuwa demokrasia ya vyama vingi bado ipo!!Yaani hiyo mbona ipo wazi?
uko sahihi
Wanadhani wana copy right
Tatizo hajui hata jinsi ambavyo chaguzi zinaendeshwa.N wapi huko ambako kuna mgombea mmoja, na kuna kupiga kura!
Ili watuzuge kuwa demokrasia ya vyama vingi bado ipo!!
Wataendelea kuumbuka tu maana hawakubaliki.Kweli kabisa sijui bukoba kama pesa ya kampeini waliirudisha makao makuu maana hakuna cha kampeini
Kama mgombea n wa ccm pekee kama msemavyo, huyo wa TLP atatokea wapi?Safari hii utasikia TLP wameshinda kiti au viti kadhaa vya udiwani!!
Hawa watu ni hatari kuliko ukimwi na kansa!
Wataendelea kuumbuka tu maana hawakubaliki.
Nakubaliana na wewe bila kinyongo.Acha dharau vyama vya upinzani sio Chadema Na CUF Seif Sharrif Hamad tu kuna ACT wazalendo , CUF Lijumba,NCCR nk vina madiwani Na bunge Na vingine vipo kibao . Chadema Na CUF Seif Sharrif Hamad acheni superiority complex you not the only opposition party in the country