Kama habari hii ina ukweli,ni wazi unahitajika uchunguzi kuhusu huu mradi hasa ukizingatia kuwa tunaimba wimbo wa Tanzani ya viwanda

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Tweet hii hapa chini ni ya Zttto Kabwe:

RaiaMwema waliandika “moja ya kampuni zinazotekeleza mradi wa reli ya kisasa imeingiza nchini shehena kubwa ya chuma (TMT Bars 500) kutoka nje wakati aina hiyo ya chuma inazalishwa na viwanda vya ndani. Kampuni hiyo imeagiza Nondo kiasi cha tani 10,000 kutoka Uturuki na China.
 
Inaweza kuwa kweli kufuatana na std na ubora wa nondo na uwezo uzalishaji hapa nchini.
Msipaniki kwa kila jambo, huenda wamepata Kibali maalumu kuagiza, kufuatia uwezo viwanda vya ndani, viwango ubora,ratiba mradi.
 
Hayo ya kuagiza chuma toka nje yapi sana kwa sababu za quality. Hii chuma yetu inayotokana na chuma chakavu ndio wanataka ijenge madaraja, reli na majumba!!! Kama mnataka kushuhudia kubomoka kwa madaraja, kuparaganyika kwa reli ama kuporomoka kwa majumba basi tumieni chuma chakavu ya Tanzania
 
Kwahiyo kila Zitto Kabwe akikohoa tu TWITTER mleta mada unakimbilia Jamii Forums?,kwanza bado hatujapata mrejesho wa TAKUKURU kama ZZK alipeleka ushahidi wa tweet yake ya nyuma kuhusu kuzalisha chuma TZ,bado unakimbilia kuleta habari zile zile za chuma?, sijui unamuonaga Zitto hawezi kuongea uongo, ndo maana kila kitu ulikuwa una refer kwa Mange kipindi kile.Unapenda sana habari za kuokoteza.
 
Vipi magimbi bado yapo?

Ushahidi alipeleka tangu jana na leo amekamilisha maelezo.

Kayaandika haya twitter.
 
Inaweza kuwa kweli kufuatana na std na ubora wa nondo na uwezo uzalishaji hapa nchini.
Msipaniki kwa kila jambo, huenda wamepata Kibali maalumu kuagiza, kufuatia uwezo viwanda vya ndani, viwango ubora,ratiba mradi.
Kwa tani 10000 zinazalishwa tu maana vipo viwanda zaidi 20 kila kimoa kioewe mwezi kuzalisha 1000 hawezi kuzalisha tani 10000? Ni uaji miradi mikubwa inayanzishwa nyuma yae kuna pazia ,na pazia hilo ndo makandokando kama hayo
 
Hayo ya kuagiza chuma toka nje yapi sana kwa sababu za quality. Hii chuma yetu inayotokana na chuma chakavu ndio wanataka ijenge madaraja, reli na majumba!!! Kama mnataka kushuhudia kubomoka kwa madaraja, kuparaganyika kwa reli ama kuporomoka kwa majumba basi tumieni chuma chakavu ya Tanzania
Ubora wa ndondo ya ndani umejenga majengo marefu mengi tu na madaraha mengi hata la mfugale pale tazara ni nondo za ndani kwahiyo daraja hilo fake?tuache kudharilisha na kuhatibu soko la nondo la viwanda vyetu zinadikia kabisa ubora.
Yanayofanyika ndo maana ya kuwepi huo mradi na si manufaa kwa watanzania hasa baadaye
 
Back
Top Bottom