Kama fundi anakosa kazi mkoani mshauri aje Dodoma

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
11,235
2,000
Kuna fursa nyingi Sana za kazi dodoma kwa mafundi Kuna uhaba wa mafundi kila Kona ujenzi unaendelea hivyo Ni wazi kuwa fundi akiwa serious hakosi kazi.

Unakuta fundi analalamika kuwa kazi siku hizi zimekuwa ngumu kumbe ye alichokosea Ni kwamba hayupo mahali sahihi.kwa ujenzi kwa kweli dodoma inajengwa mafundi wamshukuru sana Magufuli kuwekeza Dodoma miradi japo kwa sasa inapoa kidogo hela zinaendelea kupungua ila Bado kazi zipo Sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom