Kama for centuries hakuna dawa ya mafua toka mitishamba, epuka na utapeli wa Madagascar and the like!

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,294
73,837
Mpaka kesho hakuna dawa ya mafua na limekuwa tatizo la waafrika/dunia from time immemorial. Leo anatokea tapeli anawadanya mnachukua ndege kwenda eti kuchukua dawa!
AIDS imeua mpaka leo na ahueni ilipatikana baada ya USA scientists kuleta ARV! Mitishamba imetumika sana ikaonekana hopeless, watu wakapukutika! MM1- MUbarak-Mobutu walijitokeza eti wana dawa ya UKIMWI, yaliishia wapi? Walio na umri mkubwa wanajua ujinga huu!

Haya ya madagascar siyo ya kwanza!
Soma hii ya Mobutu-Mubarak Shroud aids cure

Mystery Shrouds New AIDS Drug

ROBERT WELLERNovember 23, 1987

KINSHASA, Zaire (AP) _ Zaire television, playing a videotape of a news conference where a new treatment for AIDS was announced, said Sunday the ″suspense is lifted.″

But little information was given about the drug developed by doctors in Zaire and Egypt.

Doctors Lurhuma Zirimwabago of Kinshasa and Ahmed Shafik of Cairo said Saturday their new treatment, called MM1, had improved the condition of some AIDS victims in a 6 1/2 -month test.

Shafik called it an ″unprecedented medical triumph.″

But neither doctor would identify the drug’s contents. Lurhuma said he preferred to ″keep it to myself for the present.″

Lurhuma and other Zaire officials also declined to say what the letters MM1 represent. Rumors circulated in this Central African capital that they stand for ″Mobutu-Mubarak 1,″ a reference to presidents Mobutu Sese Seko of Zaire and Hosni Mubarak of Egypt. Both were thanked by the doctors at Saturday’s news conference.

Research communities in France and the United States remained silent on the report. Dr. Luc Montaigner of France’s Pasteur Institute, a top AIDS researcher, said he could not comment on the announcement without further information.

Lurhuma told reporters and diplomats attending the news conference that an AIDS remedy must be capable of destroying the virus, restoring the body’s immune system and not be toxic.

″We believe that the medicine we have named MM1 has these characteristics,″ he said.


Zaire television on Sunday showed all of the 90-minute news conference. It also carried man-on-the-street interviews praising the development of the drug to fight AIDS - acquired immune deficiency syndrome.

Many African nations are sensitive to theories that the deadly disease originated on the continent. Some of those interviewed said it was remarkable that two developing countries like Egypt and Zaira had made such a discovery.

Lurhuma said 7 of 19 patients treated with MMI had died, but all 20 members of a control group of AIDS victims, not given the intramuscular injections, had died.

He said the 12 survivors, subjected to both physical examinations and extensive laboratory tests, showed ″an appreciable clinical remission of their symptoms.″

Lurhuma said more tests were being undertaken but MM1 is important now because of its apparent effectiveness and low cost.

″We have not said that we have conquered AIDS. But we note that our medication had a certain effectiveness. It is but a small stone in the fight against this scourge and we are going to continue in our work,″ he said.

The drug would cost less than $1,000 for treatment compared to more than $10,000 for other drugs being used against the disease, Lurhuma said. Individual injections would cost about $10, he added. No details on possible marketing and distribution were given.

Lurhuma, who has been working with French Dr. Daniel Zagury on a program to develop a vaccine for AIDS, said Zagury was not involved in the MM1 project.

Asked about Zagury’s work, he said only that it was ″advancing well.″

Zagury inoculated himself, another French researcher and 20 Zairian volunteers last year with an experimental vaccine to combat AIDS. He reported the inoculations to the Third International Conference on AIDS in Washington last summer.

In a telephone interview earlier, Zagury confirmed he was cooperating with Zaire on research into the use of ″killer″ white blood cells to destroy cells infected by AIDS.
 
Mpaka kesho hakuna dawa ya mafua na limekuwa tatizo la waafrika/dunia from time immemorial. Leo anatokea tapeli anawadanya mnachukua ndege kwenda eti kuchukua dawa! Pascal Mayalla
Duh...!., kumuita rais wa nchi ni tapeli sio jina la heshima na staha, maadam Corona ni janga na haina kinga wala tiba, then lets give it a trial, anything inayosemekana kutibu, and you never know, this time tiba itatoka Africa!.

P
 
Heshima yako kaka mkubwa Retired.. Kuna siku tutarudi kuzi retrieve hizi post.. Madagascar alichofanya simlaumu sana.. Ametumia fursa kutengeneza shekeli...
Natambua miti shamba ipo na inafanya maajabu yake kwenye baadhi ya magonjwa.. Lakini corona sio khambaku..
Mpaka sasa midomo ni mingi kwenye hili la Madagascar
. Rais katuma ndege kwenda kuleta dawa
. Hii sio dawa bali ni kinga
. Hii tuliyoleta ni sample tuu
. Zetu Zilikuwa chupa mbili tu nyingine ni za wa Madagascar waishio nchini
. Hatukununua tumepewa zawadi
. Mimi nilikunywa tu kuonesha shukrani lakini bado hazijathibithishwa nchini
. Itachukua miezi sita kuzifanyia uchunguzi
IMG-20200508-WA0011.jpg


Jr
 
Duh...!., kumuita rais wa nchi ni tapeli sio jina la heshima na staha, maadam Corona haina dawa, lets give it a trial, anything inayosemekana kutibu, and you never know, this time tiba itatoka Africa!.

P
Anajua fika kuwa hakuna kitu pale ndiyo maana namuita tapeli! Heshima unajpa mwenyewe, ukifanya mambo ya kitapeli kama akina Gwajima tutasema sana! maiti wanaongezeka madagascar halafu anasema kuna dawa, wewe ni tapeli.
 
Tatizo la kua na mtu anayeamini uchawi, kila siku anaimba boiling point ya copper leo ka phd kake ka sayansi kaweka pembeni anatumia hela zetu kwenda kufata mitishamba ambayo haijapimwa, uchawi unamsumbua
 
Tatizo la kua na mtu anayeamini uchawi, kila siku anaimba boiling point ya copper leo ka phd kake ka sayansi kaweka pembeni anatumia hela zetu kwenda kufata mitishamba ambayo haijapimwa, uchawi unamsumbua
Dhana shirikishi

Jr
 
Heshima yako kaka mkubwa @Retired.. Kuna siku tutarudi kuzi retrieve hizi post.. Madagascar alichofanya simlaumu sana.. Ametumia fursa kutengeneza shekeli...
Concern yangu ni pale anaposema ni dawa! Sema kuna mitishamba huwa tunaitumia kupoza mafua, LABDA inaweza kupoza hili gonjwa. Utaeleweka. Lakini unaposema ni dawa inatibu, huo ni utapeli! Waulize Wahaya wana dawa wanaita "KANYAMWESA", ukiwepa unga kidogo in terms of micrograms unapiga chafya moaka basi. Pua zinazibuka unapata nafuu ya kupumua, lkn virus wako pale pale. kesho pua zinaziba teba, unaweka tena puani zinazibuka... mpaka mafua/kambaku vinapo subside vyenyewe... SITO TIBAA Pascal Mayalla
 
Mwambie sasa na Da Mange anaewaambia watu wajifungie ndani wakisubiri dawa ya mafua igunduliwe, isipogunduliwa je?
 
Back
Top Bottom