Kama Euro-zone itavunjika,Je East Africa itapona? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama Euro-zone itavunjika,Je East Africa itapona?

Discussion in 'International Forum' started by rosemarie, Aug 24, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kuna hatari tumeanza kuiona toka mbali,inawezekana Umoja wa Ulaya ukavunjika,Greese tayari imeonyesha dalili za kujiondoa kutokana na madeni makubwa inayoikabili,kinachotazamwa sasa hivi ni nani atafaidika iwapo Ulaya itavunjika,inaaminika strongest economic eurozone Germany ndiye atakaye faidika zaidi,tunachofikiri kama Euro itavunjika je East africa itapona?je kuna haja ya kutegemea huu muungano wetu ambao umegubikwa na kutokuaminiana?soma zaidi hapa:::www.en.for.ua.news
   
 2. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu director1.
  Ni kweli German ndiyo strongest country (economically) in Euro Zone, lakini linapokuja swala la kuvunjika huo muungano wao, sio kweli kwamba German ndio itafaidika moja kwa moja. Sababu ya msingi ni kwamba, hayo madeni ambayo hayalipiki, wakopeshaji wakubwa ni German Institutes, sasa linapotokea swala la ku-defaults, German watapoteza hayo mapesa yao, ndio maana German wanaangaika kuakikishe Greece haiondoki Euro Zone pia mpango wa bailout unafanikiwa...
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  EAC hatutumii hela moja, kila uchumi unajitegemea hata kenya leo ikipata matatizo kiuchumi haiwezi kuaffect tanzania or uganda...
   
 4. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  BTW statistics zinaonyesha UK inafanya biashara nzuri tu out of EU zone hivi sasa wana mkakati wa kuboresha biashara hiyo na hawataki kusikia kabisa habari za Euro maana wamekuwa wanaisaidia lakini nchi za Greece, Spain, Italy na nyinginezo ziko taabani. haya ya kushinikizana kwenye EAC yatapita tu kama Wakenya wenyewe wameuana kama tumbili itakuwa sembuse kwenye hii community? Wanachofanya hivi sasa ni kukimbilia na kujie-stablish Tanzania maana Kenya ni moto.
   
Loading...