Kwani unapo geuza KITANDA chako, ni kitu gani UNAPOTEZA..!!?
Mtaalamu kaona kama ni swali gumu sanaaa, kujizungusha kwa dunia hakuondoi chochote maana inajizungusha nzimanzima na hizo pande ila ukisoma zaidi utakutanza na vitu kama earths magnetic field/ Magnetic North hivyo North ipo kitaalam then East na West zipo arbitrary.
Kwani ulimwengu uko fixed?Unapata mashariki na magharibi ya ulimwengu si ya dunia
Kumbuka kuwa dunia inaning'inia kwenye ulimwengu kwa force of gravityKwani ulimwengu uko fixed?
NopeKumbuka kuwa dunia inaning'inia kwenye ulimwengu kwa force of gravity
Usikaliri MAISHA...Bado unatumia KITANDA cha pembe nne (mraba).Kitanda kipo duara?
hautajibiwa kitaalam maana ni elimu yakukaririshwa
kwenye suala la dunia ni duara au lah. nimeamua kutokuamini chochote mpaka sasa maana bado sijathibitisha mimi mwenyewe huku majibu ya maswali niliyonayo yakikosa majibu yenye ushahidi halisi zaidi ya nadharia,Mfumo wa elimu wa kizungu ni kujua kile wao wanataka sisi tujue, huruhusiwi kutaka jua zaidi, au kudadisi kwanini jambo fulani likawa kama lilivyo, utapewa majibu yaleyale yalokwenye kitabu, hatupewi fursa ya kuangalia nje ya boksi. Na yeyote atakaye taka kujua tofauti na wazungu wanavyosema ataoneka yeye ni mshamba au hana elimu.
Acha kufananisha chungwa na duniaKwani kwa mfano ukichukua chungwa halafu ukaliandika namba 1 hadi 10 kuzunguka chungwa halafu ukilizungusha hilo chungwa na namba zitabadilika badala ya kuwa 1, 2, 3 zikawa 3, 5, 1???
Jibu lake namba zitabaki vile vile basi na dunia hata ikizunguka bado kutakuwa na kaskazini, kusini, mashariki na magharibi.