Kama dunia duara na inazunguka tunapataje mashariki na magharibi kwenye ramani?

Zeni2017

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
1,247
2,000
Apo chacha!
a79ce2604f68d8f861bc134efc399c2c.jpg
 
Erickford4

JF-Expert Member
May 22, 2017
1,139
2,000
Kwani kwa mfano ukichukua chungwa halafu ukaliandika namba 1 hadi 10 kuzunguka chungwa halafu ukilizungusha hilo chungwa na namba zitabadilika badala ya kuwa 1, 2, 3 zikawa 3, 5, 1???
Jibu lake namba zitabaki vile vile basi na dunia hata ikizunguka bado kutakuwa na kaskazini, kusini, mashariki na magharibi.
 
Rivamba J

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
384
250
Mtaalamu kaona kama ni swali gumu sanaaa, kujizungusha kwa dunia hakuondoi chochote maana inajizungusha nzimanzima na hizo pande ila ukisoma zaidi utakutanza na vitu kama earths magnetic field/ Magnetic North hivyo North ipo kitaalam then East na West zipo arbitrary.
 
forex

Senior Member
Jun 15, 2017
198
250
Refer North Pole! The earth spines itself on the north pole & at the same time revolving the sun!
 
Zeni2017

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
1,247
2,000
Mtaalamu kaona kama ni swali gumu sanaaa, kujizungusha kwa dunia hakuondoi chochote maana inajizungusha nzimanzima na hizo pande ila ukisoma zaidi utakutanza na vitu kama earths magnetic field/ Magnetic North hivyo North ipo kitaalam then East na West zipo arbitrary.

Mizinguo hii. Unapataje pande katika duara kabla hata halijazunguka.
Wameamua tu wazungu kujiita magharibi na warugaruga kuwaita mashariki.
 
Zeni2017

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
1,247
2,000
Hivi unajua mashariki ni upande jua linapotoka na magharibi ni upande jua linapozama.

west
west/
noun
1.
the direction toward the point of the horizon where the sun sets at the equinoxes, on the left-hand side of a person facing north, or the part of the horizon lying in this direction.
"the evening sun glowed from the west"

east
ēst/
noun
1.
the direction toward the point of the horizon where the sun rises at the equinoxes, on the right-hand side of a person facing north, or the point on the horizon itself.
"a gale was blowing from the east"

Kwa kiswahili ni machweo sijui na kitu gani tena.

Sasa Japan na Carlifonia si kote jua linatoka asubuhi na kuzama jioni?
 
kijani11

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
6,613
2,000
Swala la magharibi, kusini, kaskazini na mashariki linategemea na mahali ulipo (reference point) ni kama kusema mkono wa kushoto na kulia ukitoa maelekezo ambapo nalo linategemea kushoto au kulia mtu akiwa anaelekea wapi.
 
GIUSEPPE

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
5,265
2,000
hautajibiwa kitaalam maana ni elimu yakukaririshwa

Mfumo wa elimu wa kizungu ni kujua kile wao wanataka sisi tujue, huruhusiwi kutaka jua zaidi, au kudadisi kwanini jambo fulani likawa kama lilivyo, utapewa majibu yaleyale yalokwenye kitabu, hatupewi fursa ya kuangalia nje ya boksi. Na yeyote atakaye taka kujua tofauti na wazungu wanavyosema ataoneka yeye ni mshamba au hana elimu.
 
nkumbison

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
1,847

kwenye suala la dunia ni duara au lah. nimeamua kutokuamini chochote mpaka sasa maana bado sijathibitisha mimi mwenyewe huku majibu ya maswali niliyonayo yakikosa majibu yenye ushahidi halisi zaidi ya nadharia,
 
sergio 5

JF-Expert Member
May 22, 2017
8,703
2,000
Kwani kwa mfano ukichukua chungwa halafu ukaliandika namba 1 hadi 10 kuzunguka chungwa halafu ukilizungusha hilo chungwa na namba zitabadilika badala ya kuwa 1, 2, 3 zikawa 3, 5, 1???
Jibu lake namba zitabaki vile vile basi na dunia hata ikizunguka bado kutakuwa na kaskazini, kusini, mashariki na magharibi.
Acha kufananisha chungwa na dunia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom