johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,743
- 141,604
Kusaidiana ndio jadi yetu watanzania bila kujali kabila, dini wala itikadi za kisiasa.
Ikumbukwe kuwa mwaka 2015 aliyekuwa katibu mkuu wa chadema Dr Slaa alilia njaa akidai amekuwa akishindia mihogo pale Ufipa. CCM ilipokea kilio chake kwa moyo mkunjufu ma haikuishia kwenye kumbadilishia mlo tu bali hata nyumba yake iliyotaka kuligwa mnada na benki iliokolewa na CCM na kurejeshwa kwa Dr wa Ukweli.
Hivyo maadam Tundu Lisu naye amesikika huko ughaibuni akiomba kusaidiwa hii maana yake ni kuwa chama chake kimeishiwa pumzi, hivyo kwa sababu za kibinadamu sitashangaa kusikia CCM wamemsaidia.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!