mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,265
- 44,774
Mnajisumbua bure
Kama watumishi wa umma wenyew ni akina Ndugai na Mganga basi ni hovyo snAlafu Cha ajabu Watumishi wengi wa Umma ndiyo hawampendi sana! Wanamuektia na Sasa ndiyo huko ma officini ndiyo hawatumiki kabisa wame relax wanamuangalia Mama!!
Sasa ndiyo anatakiwa awatumbuwe! Mama apunguze upole na huruma,ajuwe kuwa yeye siyo Mama,yeye ni Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!! Urais hauna jinsia! Jinsia yoyote ile inaweza kua Rais!! Urais siyo Kama ndoa kua eti Mume lazima awe Mwanaume na Mke lazima awe Mwanamke!!Kama watumishi wa umma wenyew ni akina Ndugai na Mganga basi ni hovyo sn
Yaani kama kumuuliza, tutamuuliza humuhumu kwenye mitandao!Tanzania kiongozi anaweza kufanya chochote bila kuulizwa na mtu yoyote.
Hata kwenye Ujaji kuna namna ya kumuondoa Jaji kwa kukiuka Maadili. Imewahi kufanyika kwa Jaji Mwakibete (RIP) aliyekuwa Mfawidhi wa Kanda ya Arusha mwaka 1991. Rais Ali Hassan Mwinyi aliiunda, ikafanya kazi na ikamkuta na hatia. Kisha ikatoa mapendekezo kwa Rais na Rais akamuondoa kwenye UJAJI.Kama inajulikana si Msafi kwanini ampeleke kua Jaji? Huoni kama huyu anaeteua na kutengua nae ana shida?
Yaani makosa yake ni wazi mno haitakiwi kupoteza pesa ya kulipa tume. Nimemsifu sana Mh. Rais maana hataki kupoteza pesa ya walipa kodi kwa ukweli ulio wazi.Nimesoma mtandaoni (twitter kwenye account ya Kigogo) kuhusu taratibu za kisheria zinazotakiwa kufuata ili kumuondoa DPP ofisini, ambapo sheria imetamka wazi kuwa DPP hapaswi kuondolewa ofisini isipokuwa tu kama ana tatizo la kiafya(illness) au amekwenda kinyume na maadili ya kazi.
Hata katika hili la kwenda kinyume na maadili ya kazi/ professional yake, Rais atapaswa kuunda tribunal kumchunguza kabla ya kumuondoa.
Sasa kama haya yana ukweli, Rais Samia amemuondoa DPP ofisini kwa kigezo gani?
Kama ana makosa, kwanini asichunguzwe kama sheria inavyotaka na badala yake anapewa ujaji?
Wanasheria tusaidieni kuhusu jambo hili.
Najaribu kuweka hicho kipande chenye hizo sheria kinachozunguka mitandaoni ila bado sijafanikiwa.
kinga ya kutoshtakiwa iondolewe kwa viongozi wote sababu hata marais ndo wanaongoza kwa madudu kuliko hata wa chini yao.Waanze kuziondoa kinga za kushtakiwa kwa Mawziri Mkuu, Speaker na Naibu Speaker.
Huo ujunga wa kuwapa kinga ya kutoku shtakiwa ndio unawafanya wawe viburi na washenzi.
Isingekuwa kinga ya kushtakiwa aliopewa Job Ndugai na marehemu, angekua ameshaburuzwa mahakamani muda mrefu sana kwa kuvunja katiba ya nchi.
Mpe uhuru wake wa kutoa maoniJadili mada ondoa makelele yako.
Tuanze na kuwepo kwake ktk nafasi hiyo, alikidhi vigezo?Nimesoma mtandaoni kuhusu taratibu za kisheria zinazotakiwa kufuata ili kumuondoa DPP ofisini, ambapo sheria imetamka wazi kuwa DPP hapaswi kuondolewa ofisini isipokuwa tu kama ana tatizo la kiafya(illness) au amekwenda kinyume na maadili ya kazi.
Hata katika hili la kwenda kinyume na maadili ya kazi/ professional yake, Rais atapaswa kuunda tribunal kumchunguza kabla ya kumuondoa.
Sasa kama haya yana ukweli, Rais Samia amemuondoa DPP ofisini kwa kigezo gani?
Kama ana makosa, kwanini asichunguzwe kama sheria inavyotaka na badala yake anapewa ujaji?
Wanasheria tusaidieni kuhusu jambo hili.
Najaribu kuweka hicho kipande chenye hizo sheria kinachozunguka mitandaoni ila bado sijafanikiwa.
Tanzania kiongozi anaweza kufanya chochote bila kuulizwa na mtu yoyote.
Mkuu Salary Slip ,acha kutumia neno "watawala" tafadhali.Hata mimi naelewa Jiwe ndio alikuwa chanzo, ila na wao wanapaswa kuwajibila vinginevyo huu utakuwa ni mfano mbaya kwa watawala na wateuliwe wajao otherwise wangejiuzu.
Hata DPP Feleshi alipewa ujaji haikuwa maneno.Nimesoma mtandaoni kuhusu taratibu za kisheria zinazotakiwa kufuata ili kumuondoa DPP ofisini, ambapo sheria imetamka wazi kuwa DPP hapaswi kuondolewa ofisini isipokuwa tu kama ana tatizo la kiafya(illness) au amekwenda kinyume na maadili ya kazi.