Kama Dkt. Slaa 2010 alipata kura Milion 2 mwaka 2010, kuna aliyetegemea Lissu kupata kura hata Milion 3 kweli?

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,203
12,904
Habari watani wetu wa jadi..!

Ndugu zangu w upinzani naomba niwakumbushe matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, kipindi ambacho Chadema ilikubalika chini ya Dr. slaa n ndio kipindi ambacho CCM ilichokwa.

1. KUGA PETER MZIRAY APPT - MAENDELEO: 96, 933 (1.12%)

2. KIKWETE JAKAYA MRISHO/CCM: 5,276,827 (61.17%)

3. SLAA WILLIBROD PETER/CHADEMA: 2,271,941 (26.34%)


Kipindi hiki Chadema ya moto na Dr. Akifunga kwelikweli lakini akaambulia kura hizo milion 2 toka kwa wananchi.

Uchaguzi wa 2015 Chadema mlipata kura nyingi si sababu mlikubalika sana! la-hasha! Ila kuungana na pia Lowasa kama Lowasa alikuwa na mtaji wa watu na ndicho kiliwasaidia kufikisha kura Milion 6.

Mwaka 2020 kama kuna mtu alitegemea Lissu angepata ata nusu ya kura alizokapata Lowasa mwaka 2015 alitakiwa akapimwe mkojo.

Matokeo aliyopata Lissu ajipongeze kajitahidi mnooo.

Nchi yangu fahari yangu, ahadi yake pekee ni kuilinda.
images (1).jpeg
7.jpg
images.jpeg
 
Mbona mnahangaika sana kutafuta amani ya nafsi? Walipeni vijana wenu walioshiriki dhulma maana hadi leo mnawazungusha tu.
 
Alafu huu ujinga wa kusema Lowassa ndio alitupa kura 2015 naupinga. Maana kwa uchakachuzi wa NEC wanadai alipata 40% na upinzani 2010 ulipata 38% unless mkiri kwamba mliiba ila as it stands aliongeza 2% pekee!!
 
Back
Top Bottom