Kama Dangote kafunga mitungi ya gesi kwenye malori yake, Mimi ni nani hata nisibadili mfumo wa nishati ya gari yangu?

Kwa Bei hii bei ya petrol ilipofikishwa naona kabisa Kuna uwezekano wa kuhamia kwenye kufunga yale mamitungi ya gesi kwenye haka kagari ninachokatumia............shida bado ipo kwenye kuchanga hizo pesa ya kufungia hayo mamitungi ukizingatia huu mtungo wa kodi na tozo ninaopigwa na awamu ya tozo in kwa kweli sioni pa kupatia ahueni
 
Kama uliweza kuchanga ukanunua gari, basi utaweza kabisa kuchanga ili ufunge mtungi
 
Back
Top Bottom