Kama Dangote kafunga mitungi ya gesi kwenye malori yake, Mimi ni nani hata nisibadili mfumo wa nishati ya gari yangu?

Hahahaaaaa Kabisa serikali haibuni vyoanzo vipya bali wanaangalia wapi kuna watumiaji wengi ndio hapo hapo wanakandamiza.
Wasenge kweli yani wanakera! Wanajua internet ndio ina watumiaji lukuki hapo pia watatia spana! Pombe sahizi wengi waliacha sababu ya uchumi mbovu huko wameona hamna ishu wamekimbilia kwenye mafuta ambako magari ni mengi zaidi 😂😂😂
 
Wanaacha kuendeleza rasilimali, tuzi export tupate forex, wao wameng'ang'ania Kodi tu, wacha tuendelee kuwa nchi fukara.
SWALI LA UZUSHI:-
Hivi bado tuko kwenye uchumi wa Kati?
Hahahah aah wapi uchumi wa kati hauwezi kuunga unga sh.100 kwenye litre ya mafuta mjombaa😅😅😅!

Tatizo ndio hilo yani toka enzi za mkapa kodi ni sigara, bia,bima ya gari, kodi ya biashara na hao wajinga walioanzishaga hizo kodi ndio ambao wanapambania watoto wao warithishwe madaraka ili waendelee kubunya! Imefikia mahali watu wamepunguza unywaji na uvutaji sasa hizo kodi hazitoshi wameamua kodi zije kwenye nyumba na mafuta ya kuendeshea magari,mitambo na pikipiki maana nilazima utatumia tu! Too bad wanataka na simu nazo waziwekee kodi, et uzalendo!

Poor country nchi ina maliasili kibao ila tunaendelea kuwa masikini tu! Ingekuwa kuna uwezekano tukawakodi wazungu watuendeshee nchi kwa mkataba bora tungewapa wao ili wananchi tuokoke na mabalaa ya chama cha mbogamboga
 
Hio ni fursa kwa mafundi wa pale DIT kuanzisha Depot za gas za magari mikoani! Ina maana ni fursa nzuri sana kabla watu hawajasanuka
Jana nilienda 7-7 nikaona wale jamaa wa kufunga gas kwenye magari. I think it's worth using the technology, kwa 1.8mil unafungiwa mzigo na kwa maelezo yao mtungi unajazwa kwa 20k unatembea 200km approx.

Tatizo ni kuwa boot inajaa kabla hujaweka mabegi yako
 
Hahahah yes hivi ule mtungi kama pale kwenye IST ni wa kilo ngapi ule? Yani elfu 20 ya gas unapiga misele ya full tank ya 115,000!

Boot halina shida cha msingi gari iende...inabidi utengeneze compartment ya gesi iwe chini kisah ulaze flat board kama MDF flani hivi ili mamitungi yasionekane tu na kuleta show mbaya!
 
Wasenge kweli yani wanakera! Wanajua internet ndio ina watumiaji lukuki hapo pia watatia spana! Pombe sahizi wengi waliacha sababu ya uchumi mbovu huko wameona hamna ishu wamekimbilia kwenye mafuta ambako magari ni mengi zaidi 😂😂😂

Ndio tatizo la viongozi vilaza ,hawaumizi kichwa kubuni vyanzo vipya wao wanaangalia vile vile tu.
 
Hahahah aah wapi uchumi wa kati hauwezi kuunga unga sh.100 kwenye litre ya mafuta mjombaa😅😅😅!

Tatizo ndio hilo yani toka enzi za mkapa kodi ni sigara, bia,bima ya gari, kodi ya biashara na hao wajinga walioanzishaga hizo kodi ndio ambao wanapambania watoto wao warithishwe madaraka ili waendelee kubunya! Imefikia mahali watu wamepunguza unywaji na uvutaji sasa hizo kodi hazitoshi wameamua kodi zije kwenye nyumba na mafuta ya kuendeshea magari,mitambo na pikipiki maana nilazima utatumia tu! Too bad wanataka na simu nazo waziwekee kodi, et uzalendo!

Poor country nchi ina maliasili kibao ila tunaendelea kuwa masikini tu! Ingekuwa kuna uwezekano tukawakodi wazungu watuendeshee nchi kwa mkataba bora tungewapa wao ili wananchi tuokoke na mabalaa ya chama cha mbogamboga
Mfumo wa hovyo kabisa huu
 
Hii mada ni kwa watu wa Dar tu. Maana hata hao wa Mtwara na Lindi gas inapotoka hawana access ya hiyo huduma. Sababu hao dangote wamefunga mtambo wa kujaza gas magari ndani ya kiwanda chao.
 
Back
Top Bottom