Kama Dangote kafunga mitungi ya gesi kwenye malori yake, Mimi ni nani hata nisibadili mfumo wa nishati ya gari yangu?

Ni mara mbili ya distance ambayo mafuta yanapeleka gari yako, pia gesi asili Ni nzuri sana kwa maisha marefu ya injini yako kwani haina mabaki, na pia gesi asili Ni rafiki mzuri wa mazingira
Gari inakosa nguvu...engine inapata moto kama tanuru..coolants zinakuja kila week ujaze otherwise expect engine knock...
 
Back
Top Bottom