Kama cuf hawatajipanga kumreplace lipumba am sure kinaelekea kubaya

mandokwa

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
620
865
Ndugu wana jamii napenda kuwasalimu na kuachia hoja yangu kama inavyojieleza yenyewe. Mimi ni Mtanzania ambaye sina itikadi ya kichama and nimekuwa nikipiga kura katika mfumo wa vyama vingi kulingana na hoja au uelewa wa mgombea husika.
Kwangu mimi ingawa naelewa uhuhimu wa sera na ilani za vyama but historia yanifanya pia kujua kwakiasi gani watanzania tumekuwa wazuri katika kunadi sera na tusizitekeleze. hata kwenye dini tunaona viongozi wetu wakituasa mambo kadhaa but yet wenyewe huwa ndio wanafumaniwa na wake za watu pia kula na kufisadi mali za waumini wao. So ndio maana hata pamoja na sera huwa naangalia zaidi kama mhusika anania thabiti na uchungu na watanzania wenzake.

Kwa mfano mwaka 1995 nilimpigia mrema, mwaka 2000 nilimpigia lipumba, mwaka 2005 nilimpigia JK, mwaka 2010 sikupiga kura ya uraisi kabisa kwani kuna mambo kadhaa yalinikosesha chaguo la hakika. Najipanga 2015 huenda nikajaribu kwa mgombea binafsi kama atajitokeza mwenye sifa kwani kwa kiasi naona vyama vyetu vimekuwa kama vikundi vywa kimaslahi zaidi and sipendi hali hiyo. Kuna tofauti kati ya democrasia ya vyama vingi kule kwa wenzetu na hapa kwetu. Kwetu vyama ni maslahi zaidi na niwachache sana wenye nia thabiti za kuwasaidia watanzania and that's why mnafikia kupigana mabomu na kadhalika.. I hate this ningeweza ningevifuta vyote.

Hoja yangu ya msingi ni juu ya CUF na msimamo wao wa kumfanya prof lipumba kama ni mtu pekee wa kukiwakilisha chama. Huenda ni sahihi kulingana na katiba yao, but for sure as days go by naona mvuto wa jamaa unaendelea kwisha and hata wafuasi wake wengi nawaona as if ni watu ambao wanakosa upeo wa kuwaza kwamba wanaelekea kubaya. Jamii huenda imemzoea and hana mpya, alikuja mtwara mara zaidi ya nne and kila akija hoja zake ni zile zile and hata kwenye uchambuzi wake wa mambo anawaza yale yale tumeyazowea. Natamani watu kama kina hamadi rashid or wengineo wakichukue chama kuwe na rithm mpya and vijana wasomi washike hatamu. kwetu bara watu wengi wa CUF ni wazee and hawana mvuto ni watu watu wavivu mamwinyi tu wasion na vision.

I am very sure watu watanipiga vijembe but naona wenye kuweza kupeleka hoja mbele watanielewa zaidi amd watakubali kwamba CUF inafifia hata rangi zao za chama zinaboa.... napenda wakiuhishe ili 2015 kuwe na mpambano wa kweli na wa uhakika. itasaidia kuleta balance kati ya magamba na magwanda imekuwa two horse race sasa!! nasema sio muda mrefu CUF itakuwa kama TLP nk.

Nawakilisha mtazamo wangu.
 
...CUF ni chama cha mamwinyi...mwinyi anazaliwa akiwa kiongozi hadi anakufa akiwa kiongozi,hakuna wa kumtoa ktk uongozi labda aamue kumrithisha mpendwa wake...hii hoja sio mpya,alijaribu profesa Safari(sasa yuko Chadema) yaliyomkuta wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa watatukumbusha,Hamadi Rashidi naye alipojaribu kuisukuma hoja híi kwenye baraza la mamwinyi wakamtimua na kukimbilia mahakamani...
 
Back
Top Bottom