Benki zote, benki sio kibubuMimi nilisha achanaga nao hao, ni wezi, wana makato ya ajabu ajabu kibao, wanakera sana.
SawaTembelea tawi lililopo jirani kwa msaada zaidi.
Samahani kama una Uzoefu Huwa wanakata Kiasi gani cha juu zaidiInategemea na aina ya Account yako.
Accounts nyingi zina makato (Account maintainance fee)
Walikuwa wanakukata Kiasi gani Kiujumla NduguMimi nilisha achanaga nao hao, ni wezi, wana makato ya ajabu ajabu kibao, wanakera sana.
Huwa yanakuwaje NduguBenki zote, benki sio kibubu
Kama ulivyoambiwa inategemea na aina ya ac,Huwa yanakuwaje Ndugu
Duuh ina zaidi ua mwaka na miezi tisa.Ni kama miaka kiwili tuu.Kwani ikikaa Muda Mrefu Kuna Tatizo??.Fungua acc Equity Bank hawana makato kabisa...
Hao CRDB kama acc imekaa zaidi ya mwaka bora uachane nayo tu!
Saw Asante sana.Ya Kwangu Itakuwa Saving pia Nataka Niitumie Kwenye Kazi.Kama ulivyoambiwa inategemea na aina ya ac,
Mfano ac za biashara, kuna bank wanakata 15000, 20000, 12000 kila mwezi.
Za saving pia inategemea, ila hazizidi 4000 kwa bank nyingi
Utakuta ina deni.. sikumbuki wanachaji sh ngap kwa mwezi ila jiandae kulipa hela yao kwanza!Duuh ina zaidi ua mwaka na miezi tisa.Ni kama miaka kiwili tuu.Kwani ikikaa Muda Mrefu Kuna Tatizo??.
Duuh.Asante Sana Kwa majibu Mkuu UbarikiweUtakuta ina deni.. sikumbuki wanachaji sh ngap kwa mwezi ila jiandae kulipa hela yao kwanza!