Kama CRDB wana Makato Kwa mwezi huwa ni kiasi gani?

Inategemea na aina ya Account yako.

Accounts nyingi zina makato (Account maintainance fee)
 
Fungua acc Equity Bank hawana makato kabisa...

Hao CRDB kama acc imekaa zaidi ya mwaka bora uachane nayo tu!
 
Fungua acc Equity Bank hawana makato kabisa...

Hao CRDB kama acc imekaa zaidi ya mwaka bora uachane nayo tu!
Duuh ina zaidi ua mwaka na miezi tisa.Ni kama miaka kiwili tuu.Kwani ikikaa Muda Mrefu Kuna Tatizo??.
 
Kama ulivyoambiwa inategemea na aina ya ac,
Mfano ac za biashara, kuna bank wanakata 15000, 20000, 12000 kila mwezi.

Za saving pia inategemea, ila hazizidi 4000 kwa bank nyingi
Saw Asante sana.Ya Kwangu Itakuwa Saving pia Nataka Niitumie Kwenye Kazi.
 
Duuh ina zaidi ua mwaka na miezi tisa.Ni kama miaka kiwili tuu.Kwani ikikaa Muda Mrefu Kuna Tatizo??.
Utakuta ina deni.. sikumbuki wanachaji sh ngap kwa mwezi ila jiandae kulipa hela yao kwanza!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom