Kama CHADEMA ingeshika serikali!!

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,546
1,660
Haya 2nayoyaona leo yasingekuwepo ona WAWEKEZAJI wame2achia mashimo huko BUHEMBA vipi kuhusu BUZWAG,KAKOLA,NZEGA
 
Hauja helewa, au hutaki kuelewa kuwa umeelewa?
Jaribu kuelewa kuwaumeelewa na kutokuelewa kwako ni matokeo ya kutotaka kuelewa kuwa umeelewa bada ya kuelewa kuwa umeelewa..

well said, kina rostam wangekuwa washasepa kitamboo, na account ya vijisenti ingekuwa ishabutuliwa zamaniii,kwa wanafunzi wangekuwa wanapeta tu na elimu bure wakifaidi rasilimali zao ambazo kina ridiwani na mama SM wanazitiumbua sasa hivi baada ya kuingia ikulu kinguvu,JK lazima atakuja kupigwa mawe tena ,u just wait u will tell me. Tchao
 
Hauja helewa, au hutaki kuelewa kuwa umeelewa?
Jaribu kuelewa kuwaumeelewa na kutokuelewa kwako ni matokeo ya kutotaka kuelewa kuwa umeelewa bada ya kuelewa kuwa umeelewa..


Alitaka ajibu kama heading ya topic inavyojieleza. kuwa labda angekuwa waziri.
 
"Haya tunayoyaona leo yasingekuwepo" hata mimi hapo sijapaelewa.
Kama jana uliangalia taarifa y hbr ungeona jinsi mgodi wa BUHEMBA ulvyobak magofu najiuliza kwa hiyo MIGODI mingne iliyobaki itakuaje?JE mpaka mgodi huo unafika ktk khali hy je ume2toa wap?ume2fkisha wp?ok naamini kbs chadema ilikuja ku2komboa u2mwani kwa7bu NABII hakubaliki kwao leo 2meingia kwenye balaa la 5years.2tegemee Migomo ya hapa na pale,Umasikin kwa mfumko wa bei,Kodi kupanda kwa wafanya biashara wadgwadgo na mengi zaidi ya hayo.NGOJA 2ONE KESHO ITAKUJA VIPI.ni mtazamo wangu 2 na isiwe SHERIA.
 
Ccm ni janga la kitaifa sijui ni iite ukimwi au ebola au mnyama mla watu au jitu katili lakini ccm inaongozwa na shetani mwenyewe asemacho shetani ndicho hicho viongozi wake wanafanya shetani anauroho wa damu, hivyo kesha kunywa damu za nchi nyingi n.k. Sasa anaitaka damu ya watanzania ndo maana mwawaona ccm wako tayari hata kumwaga damu kwa uroho wa madaraka.haya tunayo yaona kwasasa bado ni madogo na ndo yameanza2
 
Back
Top Bottom