Kama cha Mwanaume kinaliwa karibu leo ule bata!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,985
20,263
Tumekuwa bize na kulipigania taifa hili dhidi ya wakwasi lakini leo nahitaji kupumzika!
Nitakuwa pembezoni mwa fukwe za jiji la Dar es Salaam ni kila bata
Natoa nafasi kwa wanawake tu kujumuika nami ila kama cha mwanaume kinaliwa wakiume wote kharrrribu!!!

Kumbe utakuwa unakula bata..hivi bata hapa jijini wanapatikana kwenye ufukwe upi na mimi nije kula?

Kumbe utakuwa unakula bata..hivi bata hapa jijini wanapatikana kwenye ufukwe upi na mimi nije kula?

Ahaahaaahaa Rejao kwa mara ya kwanza umenifanya nicheke japo huwa tunapishana ktk hoja mbalimbali! Oky nitakuwa beach moja inaitwa South Beach njoo ule bata lakini vigezo na masharti kuzingatiwa!!

Ahaahaaahaa Rejao kwa mara ya kwanza umenifanya nicheke japo huwa tunapishana ktk hoja mbalimbali! Oky nitakuwa beach moja inaitwa South Beach njoo ule bata lakini vigezo na masharti kuzingatiwa!!

ANGALIA MUHUNDI ASIKULIPUE VIBERITI HAKIKISHA UMEVAA BAN YAKO

Jamani beach kuzuri yani siku yangu inakwenda vizuri nimesaha karaha zote za serikali yetu!

Na ukitoka hapo kero inaanzia kwenye foleni ya pantoni!kero inaanza upyaaaa yaani unaumia na unasahau upepo wote ulokula hahahahaaa

Back
Top Bottom