Kama Buzi linakuzimia basi likuhonge haka kakitu kadogo tu, kama limeshindwa gari hata haka??????!!

Kuhongwa yanatokea puani make ukipewa iyo ipad na ngoma juu, make upewe iyo ipad jamaa atataka kavu na engine ya vokswagen lol.......... Kueni makini

Ukiona jitu linapenda kuhungwa basi lipo tayari kutoa vyote. Kavu kotekote
 
Features:
 Apple iPad 2, (64GB), Wifi + 3G

TZS: 1,600,000/-
 Apple iPad 2, (32GB), Wifi + 3G

TZS: 1,500,000/-
 1 Year International Warranty
 Free activation and Setup
 Regional Support

natafta mganga officially nipate kimojawapo maana bila ndumba wanaume wa bongo hupati kitu.

Kweli we mfanya biashara! Unaiuza for 1.5? Bei rahisi kuliko hata bodaboda?
 
huwa nasikia kuna wabunge wanapitaga humu, labda mmoja ataona hii maana wao daily wanaondoka na kama kitu cha 300 elfu hivi so, ndani ya siku tano tayari
 
Habari za siku nzuri, umeniona kwa miwani au darubini gani na mie niitafute mkuu nikuone, maana si haki wewe unaniona mie tu mi sikuoni.

Ha,ha,ha,haaaaa!Umeanza mambo yako ya kuleeee!Haya bana,nimetumia miwani ya mbao!
 
karne hii bado kuna watu wana mawazo ya kuhongwa.

Chauro !
Mzaha tupa kulee! Nadhani hujakutana na mitoto Mang'anyu! Mitoto Hin'haa
mitoto inayojua kutumia sanaa ya viungo vya mwili kupagawisha !
Ni mziki munene!
Mie hati ya nyumba niliihonga nikiwa sijitambui ! Hivi tuongeavyo card ya gari iko mguu mmoja nje , mguu mmoja ndani.
Usinicheke nimetepeshwaje ?
 
Ha ha ha, hadi raha.

Umatepeteshwa magoti?
ila kuna raha yake jamani kutepeteshwa, mwambie kama ni limbwata akaliongeze maana raha mno.

Chauro !
Mzaha tupa kulee! Nadhani hujakutana na mitoto Mang'anyu! Mitoto Hin'haa
mitoto inayojua kutumia sanaa ya viungo vya mwili kupagawisha !
Ni mziki munene!
Mie hati ya nyumba niliihonga nikiwa sijitambui ! Hivi tuongeavyo card ya gari iko mguu mmoja nje , mguu mmoja ndani.
Usinicheke nimetepeshwaje ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom