kama BUNGE LINACHEZEWA NA SERIKALI SPIKA NA BUNGE WANAKAZI GANI?

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
Kitendo cha viongozi wa serikali kubadili miswada iliyopitishwa na bunge kimetushtua sana lakini kikubwa ninachokiona ni serikali kulipuuza bunge, je cha kujiuliza ni Bunge lina nafasi gani katika kuisimamia serikali, au ni jumba lililojengwa kwa ajili ya maigizo na kuchukua posho tuu, nadhani ni wakati wa wabunge kugoma kuburuzwa na serikali kwani wao ndio wawakilishi wa jamii,
SITTA kama umeshindwa kusimamia serikali ng'atuka
 
sita mbona alishashindwa siku nyingi ndugu yangu?................ sita ni mwoga halafu he is in love with CCM........ hapo anazimia kabisa............ ukitaka apate mafua mwambie asiamamie kura ya kutokuwa na imani na serkali ya ccm............... hahahah......... viwango na spidi za konokono...............

sasa tunalazimika kukubali kuwa ujasiri alionyesha wkati wa kujiuzulu lowasa ulitokana na chuki binafsi na si viwango na spidi.................
 
cha msingi ni kuwanyima ubunge wanafiki wote , nadhani wananchi wameshatambua ni heri kuwakabidhi nchi mafisadi kuliko wanafiki, unajua ni heri fisadi anyejituma kuliko mnafiki wa kupiga majungu tuu, kwa kweli kama watanzania wakija kutambua viongozi jinsi wanavyowachezea kama wanavyochezewa walimu, nchi haitakalika
 
Back
Top Bottom