Kama bunge lilitaka kumu-impeach Mwinyi, kwanini lisifanye hivyo kwa Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama bunge lilitaka kumu-impeach Mwinyi, kwanini lisifanye hivyo kwa Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Dec 14, 2011.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Rais Jakaya Kikwete amekuwa akitajwa kuwa nyuma ya kashfa kama vile IPTL EPA na sasa Richmond-Dowans. Kikwete ni rais ajali ya kihistoria kwa taifa na hatari kwa mstakabali wake. Kwanini bunge lisimtimulie mbali kama Lowassa? Naleta hoja.
   
 2. networker

  networker JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 565
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  una ushaidi au umeskia ya hayo yote.kukurupuka si vizuri ndiyo yatakuja tokea ya lowasa kumbe ushaid hakuna
   
 3. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,936
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Vipi mkuu au na wewe fyekeo la posho limekukumba.
   
 4. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,935
  Likes Received: 1,628
  Trophy Points: 280
  ...they are against CHADEMA and not chairperson.
   
 5. j

  junior05 Senior Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dah, nimechekeka sana hahahahhahahahahhhahahhahahahhah
   
Loading...