Kama bunge liko huru, kwa nini uongozi wa bunge umeshindwa kumtembelea Mbowe na Matiko Segerea? Hadhi ya Mbowe Bungeni ni sawa na ya naibu spika

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Kama ni kweli mhimili wa mahakama uko huru?, ni kwa nini majaji hawakuwa huru kumuona Lissu ?
Kama bunge liko huru, kwa nini uongozi wa bunge umeshindwa kumtembelea Mbowe na Matiko Segerea? Hadhi ya Mbowe Bungeni ni sawa na ya naibu spika, pia ni Mjumbe wa tume!
 
Yaani Bunge kama taasisi unataka likawatembelee waliodharau muhimili wa Mahakama!!??
 
Wapi ulifundishwa Kuwa feature Moja wapo ya Bunge huru ni kutembelea Mahabusu wanaishikiliwa kwa kudharau Masharti ya dhamana?
 
Kama ni kweli mhimili wa mahakama uko huru?, ni kwa nini majaji hawakuwa huru kumuona Lissu ?
Kama bunge liko huru, kwa nini uongozi wa bunge umeshindwa kumtembelea Mbowe na Matiko Segerea? Hadhi ya Mbowe Bungeni ni sawa na ya naibu spika, pia ni Mjumbe wa tume!
Mbowe ni muhuni aliejivika joho la siasa na demokrasi, acha atumikie malipo yake halisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli mhimili wa mahakama uko huru?, ni kwa nini majaji hawakuwa huru kumuona Lissu ?
Kama bunge liko huru, kwa nini uongozi wa bunge umeshindwa kumtembelea Mbowe na Matiko Segerea? Hadhi ya Mbowe Bungeni ni sawa na ya naibu spika, pia ni Mjumbe wa tume!
Kumtembelea Mbowe gerezani ni swala binafsi usichanganye mambo!

Halafo Mbowe siyo Spika sasa atalingana vipi na Dr Tulia........ukitoka wenyeviti wa bunge akina Chenge ndio anafuatia KUB Mbowe!
 
Yaani Bunge kama taasisi unataka likawatembelee waliodharau muhimili wa Mahakama!!??
Kwani adhabu yao imetolewa na Bunge au Mahakama!?
Ilimradi hajalikosea Bunge hamna sababu ya Bunge kuwasusia kama watu wao..Unajua Magereza ni karibia sawa tu na Hospitali, maana zote ni sehemu za matatizo, sasa kumtelekeza mtu kwenye matatizo kwa madai ya kujitakia sio uungwana, kuonesha kujali kunaweza kukambadilisha huyo mtu vyema zaid kulikoni kukaa mbali na yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom