Kama Bollen Ngeti hayuko kwenye Kituo cha polisi cha Sitaki Shari - Ukonga, atakuwa kapelekwa wapi?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,625
218,056
Zipo taarifa zinazosambaa kwa kasi kuhusiana na mchambuzi wa kimataifa Bollen Ngeti kutokuwepo kwenye kituo cha polisi alichodaiwa kupelekwa cha Sitaki shari kilichopo Ukonga jijini DSM , baada ya kukamatwa na watu wenye silaha za kivita , hili limefahamika baada ya timu ya wanasheria kufika kituoni hapo kwa ajili ya kumtetea na kuambiwa kwamba hakuwahi kufikishwa kwenye kituo hicho.

3BE953CA-5824-48A5-836A-815A8497E419.jpeg


Kwa kadri ya ufahamu wa wana JF mnadhani Bollen atakuwa kapelekwa wapi ?

Pazeni sauti zenu ili habari hii isambae dunia nzima .

UPDATE :
Umelielewa hilo kosa_ Tutafika tu.  OFA ya Nane Nane inaisha LEO.  Nunua Kitabu .jpg


.....ASANTENI SANA WANA JF NA WATU WOTE WA MITANDAONI KWA KUPAZA SAUTI ZENU , HAKIKA UMOJA NI NGUVU , hatimaye polisi wageuka watetezi wa ndoa
 
Back
Top Bottom