Kama Bernard Membe amesema hivi, Wewe 'Mbayuwayu' ni nani umbishie?

Nafikiri wewe ndo unahitaji kupigwa msasa...Ila ukweli ni kwamba Spymaster ni Director General of Intelligence.
Jasusi mweledi ni master katika faninyake si kuongoza watu mfano tukija katika maigizo james bond a spymaster jtom cruise na mission impossible series spy master arnod schwarneger katika true lies ni spymaster na kiuhalisia . Bernad membe spy master vladimin puyin spy master rama ighondu spy master imran kombe spy master juma ngemeburwe spy master!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mnapotezea mada mnaanza matusi na lomoni mingi.
Mada imeletwa kuna wanaodai hiyo account ya twitter ni fake. Je ni kweli au? Hapo ndo pakuanzia tuendelee kujadili. Sio kuleta ngonjera na mipasho ya Hadija Kopa hapa jukwaani watu wanawaona wote wajinga na ni watoto coz maneno mnayotumia na mada husika mmmmhh???
 
tulia unyolewe uliyataka mwenyewe, umekutana na chuma cha mjerumani

Leo ndiyo utajua kwanini Israeli ni Taifa dogo sana Kijiografia ila linaogopeka duniani na lina Raia waliobarikiwa ' Akili ' nyingi tupu.
 
Mbona mnapotezea mada mnaanza matusi na lomoni mingi.
Mada imeletwa kuna wanaodai hiyo account ya twitter ni fake. Je ni kweli au? Hapo ndo pakuanzia tuendelee kujadili. Sio kuleta ngonjera na mipasho ya Hadija Kopa hapa jukwaani watu wanawaona wote wajinga na ni watoto coz maneno mnayotumia na mada husika mmmmhh???

Wasilisha 'Malalamiko ' yako Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa tafadhali.
 
Wasilisha 'Malalamiko ' yako Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa tafadhali.
cheki unavozidi kuumbuka ,mada ilyashaletwa toka juzi na ikafafanuliwa kuwa ni fake news, bado unaangaika kuleta upuuuzi, sijui uko vyuoni mlienda kusomea ujinga
 
cheki unavozidi kuumbuka ,mada ilyashaletwa toka juzi na ikafafanuliwa kuwa ni fake news, bado unaangaika kuleta upuuuzi, sijui uko vyuoni mlienda kusomea ujinga

Angalia jinsi unavyohangaika. Leo maneno yote utayamaliza Kudadadeki. Twende Kazi umeitafuta mwenyewe hii Vita hivyo ikabili sasa.
 
Hakuna ukijuacho idarani.Fumba kinywa pepo akutoke.
Unaonekana unapenda sana mambo ya kiusalama ila wewe hayakupendi,

Huwa mnakuza sana mambo jamani, TISS ni idara ya usalama upande wa intelijensia, ni idara kama zilivyo Taasisi zingine kama PCCB, au TRA, n.k, Mnaikuuuuuuza kama vile ni kitu nyeti kupita maelezo,

Mda mwingine matukio yanatokea mnawalaumu TISS bila kujua chochote;

Kwa taarifa yako tu ni kuwa karibia maraisi wote ( ukimuondoa mwl. Nyerere) na mawaziri wakuu, pia viongozi waku wa chama ( CCM) ni au waliwahi kutumikia TISS, hili la kuweka exemption ya kumuweka mtu kuwa ni kama jasusi aliyebobea ni kukuza mambo madogo yaonekane makubwa.

TISS ni pana kama ulivyo ukristo au uislamu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukomeee kucheza na wakubwa zako, nikuone tena unaleta nyuzi za kijainga jinga utaipata ya moto zaidi.
 
Wakuu
Wakuu wa mikoa wote ni sworn tiss
iko hivi anaweza akawa raia wa kawaida ila akishapata uteuzi wa rais kuwa RC tiss huwa wana muenrolle directly kwa kiapo kwasababu majukumu yake na taarifa atakazokuwa anapokea nyingi ni classified toka ikulu na eagle wing kwenda kwa mkoa wake sasa bila kumuapisha haitakuwa rahisi kumdhibiti

na hivyo basi akimessup chuma kina mhusu Kwahiyo sishangai makonda kuwa tiss ila sio kama early recruitment ila Kama after presidential apointment

I stand to be corrected
Uko sahihi. Haihitaji akili nyingi kujua kua RC kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ngazi ya mkoa lazima ale kiapo cha usalama, the same applies to DC (mwenyekiti wa kamati za ulinzi na usalama ngazi ya wilaya)

the Legend☆
 
Sioni haja ya Mimi kuwa na ' Multiple ID ' hapa wakati hii hii ' ID ' yangu tu ya GENTAMYCINE inasomwa na Ofisi ya Rais wako, Watendaji wake na Taasisi zake muhimu ( Nyeti ) unazozijua bila kusahau inapitiwa, inasomwa na kufuatiliwa na Ofisi nyingi tu za Watendaji wa Serikalini hadi huko katika Vyama vya Siasa. Na kama haitoshi ndiyo ID inayoongozwa kujadiliwa na Wasomi wengi wa Elimu ya Juu huku ikiwa na ' Mvuto ' wa Kipekee. Pia ndiyo ID ambayo ikiandika na kuibua mambo hapa JF basi utekelezaji wake huwa unafanyika au unafanyiwa Kazi na Mifano ipo. Pia ndiyo ID inayowanyoosha Watu ' Maarufu ' sehemu mbalimbali pale wakikengeuka / wakikosea na kuna Mtu mmoja mkubwa na maarufu sana tu alishanifuata ' inbox ' na Kunishukuru kwa Kumkosoa na sasa amebadilika kabisa. Uone kwamba najiamini halafu uwepo wangu hapa una ' impact ' ya Kipekee kuna Watu wawili wamekuwa ' assigned ' tu Kuangalia kila Siku GENTAMYCINE anaandika nini au anachangia nini hapa na kama ni Kitu ' Sensitive ' na chenye ' Public / Political Interest ' huwa kinachukuliwa na kujadiliwa vile vile.

Hivi kwa haya yote niliyokuelezea hapo juu bado GENTAMYCINE a.k.a " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " nina haja ya kuwa na ' Multiple ID's ' hapa Jamvini JamiiForums? Najua ya kwamba kinachowasumbueni hadi mnanichukia na kuhangaika na Mimi ni 1. Aina ya Talanta / Shani yangu niliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu na 2. Umaarufu wangu wa Kipekee hapa uliotokana na Uwasilishaji wangu ambao huwa unatumia Lugha ambayo itakufanya tu unifuatilie mara kwa mara. Kubalini tu kwamba hatuwezi kuwa sawa na ninajua kuwa Wale Watu wote ambao huwa wanajifanya Wananichukia na hawanipendi hapa basi kwa 100% hao hao ndiyo ' Followers ' wangu wakubwa tu na wananikubali mno ' Kimoyomoyo ' ila hapa wanajifanya kuwa Wanafiki.

This is GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.

Kazi Kwako / Kwenu!!!!!!!

IMG_20190121_101903.jpeg
 
" Kitendo alichofanyiwa Mhe. Zitto Z. Kabwe leo Bungeni na Afisa wa TISS, ni cha uadui, ni cha hatari na cha aibu kwa Idara ya Usalama wa Taifa. Adhabu ya kufanya fujo Bungeni haiwezi kuwa kifo na haiwezi kutolewa na TISS. Mamlaka husika imtumbue haraka! "

Siyo maneno yangu bali ni maneno ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Jasusi / Njagu Mstaafu ( Spymaster ) huko Usalama wa Taifa ( TISS ) Bwana Bernard Membe katika Ukurasa wake wa ' Twita ' wa @BenMembe ( BERNARD K MEMBE )

Kazi ipo!!!!!!!

Nawasilisha.
Vipi kama alitumwa..
 
Hivi tunajuaje hili tukio Zitto hakulipanga mwenyewe? Maana kama kwa kiki, ni Mond tu ndo anamzidi. Na hivi TL anakaribia kurudi, Zitto lazima anahangaika jinsi yakuendelea kuwa relevant maana akirudi Mgonjwa wa Taifa, atakuwa ndo kila kitu kwenye kutrend mitandaoni mpaka uvunguni.
 
" Kitendo alichofanyiwa Mhe. Zitto Z. Kabwe leo Bungeni na Afisa wa TISS, ni cha uadui, ni cha hatari na cha aibu kwa Idara ya Usalama wa Taifa. Adhabu ya kufanya fujo Bungeni haiwezi kuwa kifo na haiwezi kutolewa na TISS. Mamlaka husika imtumbue haraka! "

Siyo maneno yangu bali ni maneno ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Jasusi / Njagu Mstaafu ( Spymaster ) huko Usalama wa Taifa ( TISS ) Bwana Bernard Membe katika Ukurasa wake wa ' Twita ' wa @BenMembe ( BERNARD K MEMBE )

Kazi ipo!!!!!!!

Nawasilisha.
Nadhani ni mda muafaka wataalamu wa akiri wakae chini na kutafakari hari ya akiri ya huyu kijana anaye jiita dawa ya kuulia bakteria kama ana akiri timamu,maana amepitiliza kwenye level ya dull na upopoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom