Nitaanza kutoa ujuzi na ujanja namna ya kuchakachua umeme kwenye aina zote za mita.
Stay tuned nakuandalia ujuzi.
Pamoja tuwakomoe tanesco
Huu si ndo Ufisadi?
Nchi hii bora wote tuwe wezi....
Naanza sasa na sifa za anayetakiwa kupewa elimu hii?
1. Hakikisha nyumba mnayokaa isiwe na wambea
2. Utaendelea kununua umeme wa angalau 2000 kwa mwezi kwa mtu mwenye mita ya luku
3. Kwa wale mita za analog ni vizuri kuunga kishok usiku hasasa siku za mwisho wa mwezi
Nchi hii bora wote tuwe wezi....
Tena kama mie ukiniita "FISADI" pekee , utakua hujanitendea haki!
Niite "FISADIPAPA" Ni mpiga nyoka niliye bobezwa with my parents! Baba alikua mpiga Snake mahiri , mie nimerithi .
Nilidhani unadhihaki lakini ninalazimika kutia neno hapo, Huo msamiati uliokaziwa hapo juu,
Mimi siko kwenye taaluma ya umeme lakini nishausikia ukitumika kutoka kwa washikaji walioko kwenye talaaluma hiyo kwahivyo sina sababu ya kuwa na wasi nawe utakuwa unamaujanja kweli mtu wangu.