Kama bahati tu, CCM asili inafufuka

Na kama kuna wanafiki wa kifo ni CHADEMA na wapinzani wengine. Wanakesha kupiga propaganda ili system ya JPM iondoke na CCM ya zamani irudi.

Sababu wanajua wazi CCM ya JPM wapinzani uchwara kama tulionao walivyogaragazwa!

Wanaombea CCM ya ubabaishaji irudi ili angalau ubabaishaji wao nao upate nafasi.
Chini ya JPM hakukuwa na CCM chama (hoja) bali CCM dola (mabavu).
CCM dola mwenye hatimiliki alikuwa mtu mmoja tu (JPM) kwa kutumia mtutu wa bunduki. Ni chama ambacho hakikupendwa kabisa na wananchi na wala hakikushinda uchaguzi wa October 2020.

Chuki na mgawanyiko uliopo sasa miongoni mwa Watanzania umesababishwa na mambo ya kinyama, kishenzi na kikatili chini ya CCM dola.
 
Sisi Wasukuma tuna bahati mbaya sana, fursa pekee tukajifanya miungu watu sasa tunarudi kula miwa kwenye Baiskeli.
images

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kwani Jakaya alikuwa anafanya nini humo!!
Jakaya;- bashiru anafanya nini humu ndani?

Mangula;- ooh ni katibu bado hajakabidhi sijui nini

Jakaya;- ahaa, atoke bwana hawezi kuwa sehemu mbili huyu ni sehemu ya serikali atoke nje.
Chukua vitu vyako toka bwana!

Bashiru ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom