Kama Bagenda, huyu naye anataka kumtapeli Kikwete?

Jamani nitakipataje hicho KITABU ?
Rais Dr, Kikwete atamuenzije Mwl. Nyerere ? JINSI alivyoondoa UDINI ? JINSI anavyondoa UKABILA ?
Au JINSI alivyokifanya CCM chama cha FAMILIA yake na SIO CHAMA CHA WANANACHI WALALA HOI ?

Kweli kuandika hicho kitabu sio kumtusi Mwl. Nyerere ??? Kweli MADARAKA ni KHARAHA!!!
 
Atakuwa ana umwa na njaa huyo mwanaharakati njaa! Jk ana muenzi baba wa taifa kwa lipi?! Hivi kwa akili ya mwandishi wa hicho kitabu kuwaomba wezi wa fedha za walipa kodi wazirudishe huku vibaka wa kukwapua simu wakiuwawa kwa kuchomwa moto ndio kumuenzi mwalimu nyerere?!(Rejea kauli ya raisi jk bungeni kuhusu wezi wa epa).

Baba wa taifa hakuwahi kuihusisha familia yake kwenye kuhemea vyeo kwenye chama, je leo hii familia ya jk ina miliki vyeo vingapi kwenye chama?! Huko ndio kumuenzi mwalimu nyerere?!

Mwalimu alikuwa ana jua shida na umaskini wa watanzania na alikuwa yuko mstari wa mbele kuzitafutia ufumbuzi hapahapa Tanzania kabla hajafikiria kukimbilia nje. Je ndio anavyo fanya jk leo?! Yeye anaporudi kuomba vyandarua ana pishana na ndege angani zikiwa zimebeba madini na twiga ambao ni nembo ya taifa.

Harakati zozote za kumpamba jk kuwa ana muenzi mwl nyerere ni upofu wenye ukame wa maono! Ni sawa na kuziba shimo la panya kwa vipande vya mikate halafu kukamata mvinyo na kukaa kwenye kiti cha uvivu na kujisia kuwadhibiti panya hao.

Ji ulize?
. Je mwalimu alisha kuwa na marafiki wala rushwa halafu ikulu ikawatetea?! Je, jk amesha wahi kuwa na marafiki wa namna hiyo na kama walikuwepo walichapwa viboko 12 wakati wa kuingia na kutoka ili waka waonyeshe wake zao?

. Mwalimu alipinga kwa dhati ya kupinga vitendo/matendo ya kueneza udini!ukabila hasa katika kipindi cha vyama vingi. Je jk amelienze hilo na kulisimamia kulinda tunu ya umoja wa kitaifa?!

. Je mwl ana enziwa kwa kuandika vitabu/kitabu kwa kumchagua mtu mmoja na kufananisha matendo ya kimagumashi bila kumuishi yeye binafsi kwa matendo yenye uhalisia?
 
Bila shaka maudhui ya kitabu chake yatatuelekeza kile mwandishi alichokimaanisha!
 
Kumbe hata panya akila ngozi ya simba anamuenzi siyo?
Ama kweli wakati umefika wa makaburi ya mitume kufagiliwa na wazinzi na wezi!
Kikwete kumuenzi Nyerere ni sawa na Nguruwe kuingia msikitini hasa kama tutaangalia anayotenda.
Ama kweli huenda neno kuenzi lina maana tofauti na tunayoifahamu. Huyu kama siyo kichaa basi ni tapeli wa kujifunza. Ingawa si vizuri kuuliza swali lenye kuelekea ku-profile mtu, mbona Mutoka, Bagenda, Nyang'olo wote ni kule kule? Ni wao tu wanaoona mema ya Kikwete au wanajua udhaifu wake wa kutopata muda wa kufikiri? Alaaniwe huyu fisadi wa mawazo na tapeli wa kunuka Novati Mutoka.
 
Atakuwa ana umwa na njaa huyo mwanaharakati njaa! Jk ana muenzi baba wa taifa kwa lipi?! Hivi kwa akili ya mwandishi wa hicho kitabu kuwaomba wezi wa fedha za walipa kodi wazirudishe huku vibaka wa kukwapua simu wakiuwawa kwa kuchomwa moto ndio kumuenzi mwalimu nyerere?!(Rejea kauli ya raisi jk bungeni kuhusu wezi wa epa).

Baba wa taifa hakuwahi kuihusisha familia yake kwenye kuhemea vyeo kwenye chama, je leo hii familia ya jk ina miliki vyeo vingapi kwenye chama?! Huko ndio kumuenzi mwalimu nyerere?!

Mwalimu alikuwa ana jua shida na umaskini wa watanzania na alikuwa yuko mstari wa mbele kuzitafutia ufumbuzi hapahapa Tanzania kabla hajafikiria kukimbilia nje. Je ndio anavyo fanya jk leo?! Yeye anaporudi kuomba vyandarua ana pishana na ndege angani zikiwa zimebeba madini na twiga ambao ni nembo ya taifa.

Harakati zozote za kumpamba jk kuwa ana muenzi mwl nyerere ni upofu wenye ukame wa maono! Ni sawa na kuziba shimo la panya kwa vipande vya mikate halafu kukamata mvinyo na kukaa kwenye kiti cha uvivu na kujisia kuwadhibiti panya hao.

Ji ulize?
. Je mwalimu alisha kuwa na marafiki wala rushwa halafu ikulu ikawatetea?! Je, jk amesha wahi kuwa na marafiki wa namna hiyo na kama walikuwepo walichapwa viboko 12 wakati wa kuingia na kutoka ili waka waonyeshe wake zao?

. Mwalimu alipinga kwa dhati ya kupinga vitendo/matendo ya kueneza udini!ukabila hasa katika kipindi cha vyama vingi. Je jk amelienze hilo na kulisimamia kulinda tunu ya umoja wa kitaifa?!

. Je mwl ana enziwa kwa kuandika vitabu/kitabu kwa kumchagua mtu mmoja na kufananisha matendo ya kimagumashi bila kumuishi yeye binafsi kwa matendo yenye uhalisia?

Njaa na kujikomba kwa Mr. Dhaifu, njaa itampeleka pabaya.
 
Back
Top Bottom