Kama bado mnaamini kuwa kuna mtu anashauriwa vibaya,basi mjue akili zenu ndio zinawashauri vibaya

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Kwanza nitamke wazi kuwa hii kauli huwa siipendi kabisa na hata pale inapotolewa na wapinzani ambao sometimes huingia katika mtego wa kutumia hii kauli hasa wanapochangia mijadala pale mjengoni.

Sasa kwa haya yanayoendelea hasa hili la kutoka mjengoni muda huu kumuhusu kamanda,endeleeni kuamini kuwa anashauriwa vibaya ila mjue tu ni akili zenu ndio zinawashauri vibaya.
 
Kushauriwa vibaya ni code word ya watanzania kwani tunashindwa kusema mtu fulani hashauriki. Ukiweka mazingira ya kushauriwa vibaya basi utapata ushauri mbaya. Fikiria kwa mfano mkataba wa bandari ya Bagamoyo, jiulize kikwetw alipata ushauri gani toka kwa waziri wwake wa uchukuzi? Baadae huyo huyo alipopanda akageuza meza na tulivyokuwa mazwazwa tunasema ASINGEWEZA kumshauri vinginevyo. Hii ndio Tanzania yetu-hata bosi wetu hapa nilipo tunamshauri vibaya kwani hata ukifanyia kitu kazi ukaja na ushauri mwanana yeye tayari ana jibu.
 
Back
Top Bottom