omari londo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 1,793
- 1,774
Eti pumba mbele ya mh raisiEti had lei kuna mazezeta yanaona rais hafanyi kitu pamoja na maendeleo yoye yaliyopo kwa sasa aisee huyo ni mgonjwa wa akili na ni mfu kabisa
Demikrasia imekua kwa kiwango cha juu ndio maana hata kina mnyika wanapata nafasi ya kuongea pumba zao tena mbele ya mh rais halafu wafu fulan wanasema hakunada democrasia!? Hao lazima ni maiti zinazi tembea
Tunashukuru sana. Mungu kwa kutuletea rais anaye jali maendeleo kiasi hiki maana haijawahi tokea