Kama bado kuna mtu anapinga hadi leo jitihada za Rais Magufuli hakika huyo ni mfu

Eti had lei kuna mazezeta yanaona rais hafanyi kitu pamoja na maendeleo yoye yaliyopo kwa sasa aisee huyo ni mgonjwa wa akili na ni mfu kabisa

Demikrasia imekua kwa kiwango cha juu ndio maana hata kina mnyika wanapata nafasi ya kuongea pumba zao tena mbele ya mh rais halafu wafu fulan wanasema hakunada democrasia!? Hao lazima ni maiti zinazi tembea

Tunashukuru sana. Mungu kwa kutuletea rais anaye jali maendeleo kiasi hiki maana haijawahi tokea
Eti pumba mbele ya mh raisi
 
Andika vizuri ueleweke sio unaandika kama kanjanja flani, au wewe ni form four failure? Unafikiri huyo ******** anaweza kupendwa na wananchi wote? Ana uwezo wa kukidhi mahitaji yao wote? *****
 
Shetani anataka kusifiwa na wachamungu
 
Mazezeta ni wale wanaona thamani katika vitu badala ya utu wa mtanzania; mazezeta ni wale wanaosifu wanapotakiwa kukosoa kwa ukweli. Mazezeta ni wale wanaofurahia ujenzi wa miundo mbinu ya flaiova za huku kuna shule hazina madawati wala waalimu wa kutosha.

Yaani wewe unafurahia miradi hii mizuri inayofanywa kwa wakati usio muafaka na kwa pesa ya kukopa na kuongeza mzigo wa deni kwa walipa kodi.

Jumapili zinakuja air bus mbili nenda kashangilie maendeleo ya vitu.
 
Eti had lei kuna mazezeta yanaona rais hafanyi kitu pamoja na maendeleo yoye yaliyopo kwa sasa aisee huyo ni mgonjwa wa akili na ni mfu kabisa

Demikrasia imekua kwa kiwango cha juu ndio maana hata kina mnyika wanapata nafasi ya kuongea pumba zao tena mbele ya mh rais halafu wafu fulan wanasema hakunada democrasia!? Hao lazima ni maiti zinazi tembea

Tunashukuru sana. Mungu kwa kutuletea rais anaye jali maendeleo kiasi hiki maana haijawahi tokea

Mnasifia huku mmetega nyavu za uDC africa hatuta endelea kamwe!
 
Nyie watetezi wa humu mitandaoni ni washamba!!

Watu wanalia na mishahara duni,kodi kubwa,watu kupoteza ajira,watu kukosa kazi,wafanyabiashara kutozwa kodi kubwa, mazao kukosa soko na kuporokoka bei,,n.k alafu nyie mko busy na miradi(maendeleo ya vitu tu) ambayo baadhi mpaka leo haieleweki imeleta faida gani!

Umejiuliza kwanini waethiopia wanakimbia nchi yao licha ya kuwa na miradi mikubwa kama hii yetu?

Na ujue tu,utekaji,mauji,unyanyasaji na ukandamiza kamwe haviwezi kuzimwa na vitu kama SGR au Dreamliner.

Hamna civilisation nyie watu sijui mmetoka maporini ndio mkaja mjini moja kwa moja!!
Umenena vyema ....lakini huyo mtoa mada ni maiti inayotembea atakupinga2
 
Andika vizuri ueleweke sio unaandika kama kanjanja flani, au wewe ni form four failure? Unafikiri huyo ******** anaweza kupendwa na wananchi wote? Ana uwezo wa kukidhi mahitaji yao wote? *****
Mkuu, hata hivyo anastahili kupongezwa kwa kujitahidi kuandika. Ana siku tano tu toka ajiunge hapa JF, ingawa mwandiko wake ............mmmmmmmmmmm. ..! Kama nina ufahamu fahamu vileeee......! Sio mgeni hapa JF!
 
Hivi ilikuwaje mtaa unakopikwa upuuzi kama huu ulipewa jina la la mwanamapinduzi mashuhuri kabisa Afrika!!??
 
Back
Top Bottom