Kama Babu Trump angemdedisha general wa Kim jong un wa Korea ya kaskazini

Rais wa korea bwana kim ana slogan anasema ni heli kufa katika lakini sio kudharauliwa na kutumikishwa !! Trump alipoelewa slogani ya dogo .....akawa mpole

IRAN NAHE KADHIHIRISHA UWEZO KASEMA ATAPIGA NA AMEPIGA KWELI ,....huo ni udhubutu mkubwa sana

Hana uwoga wowote Trump kawa mpole sana sasa hivi anaomba kollabo wakae wayamalixe

Dunia ya leo .....ukilemba kunuenyekea mataifa ya kibepari utakuwa mtumwa ...sana leo libya iko wapi ilitaka demokrasia ....haipo , amani aipo hiyo kazi ya marekani

Sent using i phone x
 
Marekani achezee wote sharubu lakini akija kujichanganya kwa north korea atajuta bora kumchezea Urusi na china ila sio wakorea.
 
Mwenyekuelewa na Aelewe.....
Rais wa korea bwana kim ana slogan anasema ni heli kufa katika lakini sio kudharauliwa na kutumikishwa !! Trump alipoelewa slogani ya dogo .....akawa mpole

IRAN NAHE KADHIHIRISHA UWEZO KASEMA ATAPIGA NA AMEPIGA KWELI ,....huo ni udhubutu mkubwa sana

Hana uwoga wowote Trump kawa mpole sana sasa hivi anaomba kollabo wakae wayamalixe

Dunia ya leo .....ukilemba kunuenyekea mataifa ya kibepari utakuwa mtumwa ...sana leo libya iko wapi ilitaka demokrasia ....haipo , amani aipo hiyo kazi ya marekani

Sent using i phone x

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom