Kama awamu ya tano ingeendelea basi hii nchi ilikua inakwenda shimoni

Magufuli angemaliza mitano ya kipindi cha pili, angeng'oa mediocrity yote nchini. Kuna watu mediocre walichukia usimamizi wake na ile tabia ya kuwaambia ukweli mkavumkavu bila kuzunguka; sasa hivi wanafurahi na kuanza kurudia ile mediocrity ya miaka nenda rudi.
 
Uzuri wa kuongoza watanzania hawajui hata wapo wapi na wanaelekea wapi...amka, tupo shimoni kwa muda zaidi ya miaka 10🤣
 
Vip bado Magufuli anakutekenya sehemu za kunyea! Huyo ndo mwanaume kila siku hauishi kumzungumzia!
 
Hakuna jambo lilikuwa linakera kama kukandamiza maslah stahiki haki za binadamu. Yeye angefanya yote ila sio kuumiza raia kwankuwa pora haki zao.

Kule watumishi wanalia
Watu account zao zinashikiliwa
Ukiongea umekuwa.enemy of the.state 😥😥😥😥😥😥

Hakika aliyenyoosha mkono wake kusaidia kuondoa dhulmat alifanya vyema
 
Ametengeneza mfumo ambao people always thinking of positions, WASIKILIZE akina HARAKA HARAKA saivi wanavoj**** utadhani hakuwa karibu na wenye maamuzi, ila issue za violence zilikithiri sana na bado zitaendelea kwa muda maana washazoea. We need AMENDMENTS to the constitution. Looks like there are other IDIOTS thereafter.
 
Narudia watanzania hatujui tunachokihitaji, Yeye alikwepo tukalalamika hafanyi mazuri kaja mwingine nae bado tunalalamika hafanyi vizuri.

Watz hata tuletewe Malaika atuongoze nae tutasema hatufai anaongoza kipole na nchi inahitaji kiongozi mkali
 
Magu was genius, Mungu amrehemu. Kafanya mambo makubwa yasiyofikirika kwa mazingira ya Tanzania. Angekaa miaka 5 tena hii nchi ingekuwa “donor country”!

Alipokea nchi wakati serikali ilikuwa imekufa. Watu binafsi walikuwa na nguvu kuliko serikali. Walikuwa na uwezo wa kufanya chochote kwa kuitumia serikali. Mahakamani hadi majaji walikuwa wanapokea rushwa waziwazi na hawalgopi kutoa hukuma za ovyo, au kesi kupigwa kalenda miaka 7, 9 mpaka mtu unakata tamaa.

Kwenye uchumi ndiyo balaa. Kijijini hali ilikuwa ngumu mno japo mjini kulikuwa na bata ya fedha chafu. Fedha za rushwa, ujambazi, mauaji, madawa ya kulevya, uhujumu uchumi, utapeli wa wazi. Inasikitisha ilifikia hatua mtu binafsi anaingiza bidhaa za mabilioni bila kulipa kodi na bado yeye ndiyo anakusanya kodi. Fikiria mtu anakusanya bidhaa za wafanyabiashara, yeye ndiyo anawatoza kodi pungufu alafu anaingiza nchini bidhaa bila kulipa kodi TRA!. Yaani yeye ndiyo anajigeuza kuwa TRA!

Serikalini ilikuwa huduma mbovu mno.wafanyakazi hawakai ofisni. Mahospitalini madaktari hawakai, dawa hamna, wagonjwa wanakaripiwa, yaani tulikotoka ilikuwa balaa. Walimu hawafundishi, shule za serikali wanafeli mitihani, Magu Mungu amrehemu. Bill za umeme zilikuwa zinapanda kila mwaka lakini yeye akareverse. Umeme unakatika ovyo kwa kisingizio cha bwawa la mtera limekauka maji, kelele za majenereta kila kona.

Alafu matapeli wa kisiasa wanapiga propanda eti aliharibu uchumi! Wamesahau tulikotoka serikali ilikuwa inashindwa hata kulipa mishahara ya watumisha kwa wakati. Aliimarisha uchumi hadi nchi ikaingia uchumi wa kati, ikawa ni miongoni mwa nchi 3 zenye uchumi unaokuwa kwa kasi barani Afrika. Alidhibiti mfumuko wa bei(inflation), siyo sasa hivi kila kitu kimepanda bei; mafuta ya kupikia, gesi, nyama, dizeli na petroli, simenti, nondo, nk
 
Kwa hiyo ilichoandika hapa kina add value gani zaidi ya kutuletea pumba tupu.Yaan unapoteza muda wako unaandika ,uongo mtupu.Mbona Magufuli alijenga masoko ,barabara ,na mahospitali nchi nzima.Hizo zote hauoni?Au unatumia nn kufikiria na kuleta uongo wako hapa.?Mwache Magufuli apumzike ,bila kumtaja hampumui.
 
.na mnabahat washenzi nyie, Magufuli angemaliza miaka 10 wapuuzi kama nyie msio na mbele wa nyuma mngehama hii nchi..nchi imejaa wavivu, wasiopenda kuwajibika..mnapenda kukaa tu kwenye kahawa
Sasa nini kimemzuia asimalize hiyo miaka kumi huyo dikteta!?
 
picha inaongea ni jinsi yule bwana alikuwa,

IMG_20210918_133429.jpg
 
Tanganyika kuna wanafiq wengi yani kila raisi mbaya sijui mnataka malaika aje awaongoze. NB. Hakuna raisi ambaye atafanya mambo yote kwa usahihi au atakaewafurahisha wote.
 
Back
Top Bottom