Kama awamu ya tano ingeendelea basi hii nchi ilikua inakwenda shimoni

we kuna mtu unamlisha, unazungumziaje uvivu wa watu usiowafahamu, we una kt gani cha maana. Magufuli alikuwa mbaguzi hata dunia inafahamu. Amegawa nchi labda km haujui TUNU za taifa hili. Waasisi wa Taifa hili walipata kazi ngumu sana kuiunganisha hii nchi, leo atokee mlevi flani kuigawa? Acheni Mungu aitwe Mungu
Acha ulevi bwana mdogo! Mbona akili iko finyu ! Kwan kupata chakula ndo kipimo cha uvivu! Huelewi nilichoandika endelea kula magimbi tu mana huna bongo
 
Back
Top Bottom